Wananchi wa Kigamboni tuliridhia ujenzi wa barabara ya magari ya mwendokasi ambao umezuia daladala kufika ferry lakini sasa kero ya usafiri imetuzidi.
Mara askari wa kutoka Mwanza kumuaga bosi wao wakaanza kukamata bajaji for no reason whatsoever...tukapata shida wakaondoka...last week askari...
Wakuu, kwa uelewa wangu lile geti la free pass lina not more than 10 groups ambao ndio wako entitled kuvuka..i.e. DC, Mkuu wa Mkoa, Mawaziri, Manaibu, Ambulances, Mbunge na yule mkuu wa chuo cha mwl Nyerere...STJ or STK haziruhusiwi kupita free pass sijui wanafanyaje hadi wanapita ila naona huwa...
Walifika na gari kwenye mabanda yangu ya kuku, wakamkuta kijana..wakasema wanataka kuku 100..wakalipa 450,000 lakini kesho yake tukagundua waliondoka na broiler 500 kwa laki nne na nusu badala ya 100...tulipofuatilia walifanyaje..tukaambiwa wanatumia uchawi. We have been careful since then...
Mkuu I pad3 please update us as to when the network will be back and running...they should have a back-up system. They also need to apologize for the inconvenience caused..actually its more than an inconvenience its loss caused..more than 6hrs without network..absurd!!
Huyu dada ameshanikatia simu mara tatu..the first time she had me on hold for more than 13 minutes then hang-up, second time she just did it after I introduced myself and the third time she didnt even say the intro supposedly to be given she just picked it..said nothing and dropped it..I have...
Ni kweli imetokea jana asubuhi...by the time ninavuka...gari ya polisi ilikuwa inajaribu kulivuta (baloon - cream) kutoka kwenye ukingo (I think it was after limetolewa kwenye maji)..lakini likishindwa tena likakwama....vijana wa ferry wakalisukuma mpaka juu...ilikuwaje mpaka...
GR...this is what I'm reading btn the lines..there is more to it than what you have shared but were hoping somebody else would have joined in and spilled the beans...well..it seems he is not supposed to be touched. I agree with you that there is ALOT behind the scene than what is displayed on...
Hili ni tatizo sana hasa jioni..ikifika saa moja jioni kosa..wanabadili route au wanapaki pembeni wanawasubiri mnajaa halafu wanaongeza bei na kuwataka abiria kulipa bei ya jioni kama waiitavyo...hii ni kero kubwa hasa kwa wale ambao bajeti zao ziko fixed na hawawezi kutoa zaidi. Solution ni...
NSSF ni shirika la jamii ambalo linaongozwa kwa sheria ya mashirika ya jamii inayotaka fedha zake kuwekezwa ndani ya nchi na asset zisizohamishika etc..lakini NSSF hawafuati hizi sheria pengine siasa imeingia sana humo maana ndipo watu wanapopatia ulaji sasa hivi. Nimesikia NSSF imeinvest sijui...
MMM...Post yako inanifanya nikumbuke msemo mmoja usemao FAMILIARITY BREEDS CONTENT. Unaona tatizo ambalo linawezekana kabisa kutatuliwa lakini kwa vile sio la kila siku basi unaignore na kujifunza kuishi nalo. Huwa ninakerwa sana nikiona jinsi jiji hasa posta palivyo karibu na bahari halafu eti...
BOT haikutoa maelezo ya kutosha kwanini tunahitaji zoezi hili...anyway my take here MM ni kwamba zoezi hili linaweza kuwa na link na Patriotic Act ya 2001 ya kuingilia privacy za wananchi...maana tayari walishaanza kwenye mawasiliano sasa tunaingia kwenye finances zetu...
Mhh asante kuwa kutujuza katika fani yako ila mimi naelewa kuwa huo ni mpango wa nchi za magharibi chini ya FMasons...katika mpango wa kutekeleza magoli yao ya millenia..lazima kujua financial info za watu ikiwezekana wote...hizo faida ulizotupa naona ni face-view tu ya kuuza sera zao ila kuna...
Waliingiza siasa kwenye huduma za jamii...kazi kweli kweli. Wanaotumia barabara wanachangia kwa kulipa kodi...kivuko - unalipa kodi na gharama za kuvuka...yaani wanaona wanatupa priviledge kweli kutuvusha na siyo haki yetu kwani K'mboni ni sehemu ya makazi ya watu...Lol..
Members mnaoishi Kigamboni naomba tusaidiane/ tushauriane jinsi ya kuboresha huduma za vivuko vyetu hasa upande wa taarifa. Leo asubuhi, kivuko kidogo cha Mv Kigamboni kilikuwa kimepark na Mv Magogoni ndio ilikuwa inafanya kazi hivyo kusababisha foleni kubwa sana ya magari na msongamano wa watu...
Kwa bank ya CRDB deadline ni leo, Barclays 31st March, Akiba 15th March....nimesikia Twiga Bancorp hadi April.
Please notify all your friends wenye account zao CRDB.
I am so grateful kwamba kuna mtu mwingine ambaye ameona mapungufu mengi yaliyopo kwenye vivuko vyetu. At one point, i thought of finding a signing sheet, getting people signatures atleast 200 then nizipeleke SUMATRA au Ujenzi maana ni kama Ferry hakuna utawala..kila mtu anajiamulia la kwake. Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.