Chimama
Member
- Jan 4, 2012
- 43
- 13
Wananchi wa Kigamboni tuliridhia ujenzi wa barabara ya magari ya mwendokasi ambao umezuia daladala kufika ferry lakini sasa kero ya usafiri imetuzidi.
Mara askari wa kutoka Mwanza kumuaga bosi wao wakaanza kukamata bajaji for no reason whatsoever...tukapata shida wakaondoka...last week askari wapya kazini wakajipanga Mnazi mmoja kukamata bajaj zinazokwenda ferry wakichukua buku jelo hadi buku mbili rushwa...sasa wiki hii bajaj zimegoma kwa sababu ya kukamatwa sana na wanapanga maandamano...
Wanaoumia ni wakazi wa kigamboni...utawala ulipozuia daladala..wangeweka provision ya usafiri mbadala instead wenyewe ndio wanaharibu...smh..hii nchi!!!!