Nimeishi Lindi kwa miaka 5, nimetoka huko mwaka 2024 Feb
Nilikua naishi Wailes, karibu na Zima Moto, Kula sana watoto wa Lindi, bar za maana Linid ni Mitefuni,Pari na GRM, Hapo ndiyo kuna mademu wakutosha.... Mitwero na kule kwa Mama Salma ndiyo sehemu ya kidon
Pale Stand ya Mkoa ni pachafu...
Hizi ndiyo hoja hua nazipenda sasa,unapinga kwa mifano hadi anayekupa majibu unapata lakujifunza kutoka kwake! Asante kwa hili kaka! Hapa nimeongeza jambo,kumbe Mzee Jakaya alisimamia jambo kubwa sana pale kwa Chinga boy!
Sijajua kwa nini Mzee Jakaya hayupo kwenye orodha ya Makatibu wa CCM wa...
Duh! Unaweza soma special school, lakini ukawa huna akili!
Wenzake aliosoma nao University of Dar Es Salaam, Uchumi most of them ni Phd holder's, kina Prof Benno Ndulu ndiyo darasa moja na Jakaya
Kaka uko sahihi kabisa!
Mimi nilikua natetea kwamba Kikwete kafanya kazi Nachingwea kama Katibu wa CCM Wilaya,Masasi alihamishiwa na sidhani hata mwezi alimaliza akateuliwa kua Naibu Waziri!
1. Nimewahi fanya kazi Lindi na Mtwara,pale Nachingwea ofisi za CCM Wilaya jina la Kikwete lipo kwenye...
Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??
Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
Niletee orodha ya makatibu wa CCM Wilaya ya Masasi,nitakuletea orodha ya Matibu wa CCM pia Wilaya ya Nachingwea, tuone kama Jina la Kikwete lipo Masasi au Nachingwea!
https://www.jamiiforums.com/threads/mzee-mwinyi-sasa-unajisikiaje-kumtoa-kikwete-kutoka-lindi-na-kumpa-uwaziri-na-sasa-ni-rais.532520/
Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
Naomba nikujibu kwa hoja hii! Nikitoka job,nina muda mzuri sana...
https://www.jamiiforums.com/threads/mzee-mwinyi-sasa-unajisikiaje-kumtoa-kikwete-kutoka-lindi-na-kumpa-uwaziri-na-sasa-ni-rais.532520/
Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
Naandika uzi huu kwa huzuni kubwa sana.
Jana mnamo saa nne usiku,nilipigiwa simu na rafiki yangu, kwanza nilishituka, hii simu ya usiku hivi kwa yule jamaa, lazima kuna shida maana muda wa saa nne, yeye na familia yake hua wameshalala sio mtu wakukesha kuangalia mpira au kunywa pombe kama kina...
Zamaradi hakumaliza Saut,mwaka 2005, aliomba kusoma kozi ya Masscom,akiwa darasa moja na Popoma, lakini semister ya kwanza tu,Zamaradi aliferi masomo karibu yote,akaamua kuacha chuo nakukimbilia Dsm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.