Search results

  1. Halim1997

    Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

    Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
  2. Halim1997

    Alitengana na mumewe na kuolewa na mwingine, Sasa anataka kurudi kwa mume wa kwanza

    Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya mapenz ya kwel au?
Back
Top Bottom