Search results

  1. Jurudyiza

    SoC02 Kuwa na taaluma usiyoitumia kutimiza malengo yako ni kuikosea heshima

    Taaluma yoyote uliyonayo ina heshima yake ndio maana imekugharimu muda na mali mpaka kuipata taaluma hiyo. Bila kujali una ngazi gani katika taaluma hiyo lakini tambua ya kwamba ina heshima yake ndio maana umeihangaikia ili kuipata taaluma hiyo. Inawezekana kwenye taaluma yako upo ngazi ya...
  2. Jurudyiza

    SoC02 Mtoto ndani ya giza jeusi

    MTOTO NDANI YA GIZA JEUSI. Mimi ndio taifa la kesho kweli kwa haya uliyonitendea? Nikifiwa na wazazi wangu sina amani tena ya kesho, wazazi wakinipeleka shule za hosteli nikiwa bado mdogo sina raha kwa vitendo vya ulawiti na ubakaji ninavyofanyiwa na kaka zangu, nikiwa nyumbani na babu yangu...
  3. Jurudyiza

    Maneno yanaumba

    Mtu anaishi na mme wake au mke wake vizuri tu, lakini wakitofautiana kidogo utasikia.. Nimeshachoka, nakuacha, kwanza mimi bado kijana na ni mdogo tu, tuachane tu kila mtu akamtafute anayemuona anafaa kwake, kila mtu ashike zake hata hivyo uhalisia wake unakuta anaumia mwenyewe moyoni na...
  4. Jurudyiza

    Mshindi wa Shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (JF Stories of Change) kujulikana Ijumaa tarehe 15 Oktoba, 2021

    Tunawashukuru sana kwa ubunifu na Hamasa zenu, kwani kupitia makala zilizoandaliwa na wadau mbalimbali wa JF tumejifunza mengi pia, kupitia mashindano kama haya yanawawezesha wadau kuonesha vipaji vyao vya uandishi na kuleta Maada zenye tija kwa wadau wote na jamii kwa ujumla.
  5. Jurudyiza

    Masalia mapya ya mijusi mikubwa yagundulika Lindi

    Mawe mengine yanatokana na mabaki ya wanyama kv mifupa pamoja na mabaki ya mimea kasome rock formation
  6. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Kwenye hii biashara ya fx kuna watu wanatengeneza faida ila sio kwa ku trade bali wao wa nakula kupitia migongo ya wanao trade na kuunguza akaunti zao. Watu hao shughuli yao kubwa ni kushawishi watu wajiunge na kufanya biashara hii kupitia link zao na hivyo mtu anapokubali na kujiunga na kuanza...
  7. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Watu wanapoteza huku wakiwa na matumaini makubwa kwamba ipo siku watakuwa wazuri katika kufanya biashara hiyo, Biashara ya fx unaungua kwa maumivu makali huku ukiwa unajiona ww ni shujaa, kama hujabahatika kuona mdahalo kama huu huwezi hata kufikiri ni jinsi gani watu wanapoteza fedha zao...
  8. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Mtu mwenye maarifa/knowledge ya codes hizo anapataje hiyo pesa
  9. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha kabisa, hizi biashara imefikia watu wanachukua hadi mikopo kwa mihehemko ya utajiri mwisho ndo kilio bila kupigwa.
  10. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Tuelekeze jinsi unavyofanya ndugu.
  11. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Biashara hizi zina matapeli wengi kuanzia anayekushawishi tapeli, anayekufundisha kuifanya tapeli, anayekuelekeza naye tapeli, mwenye biashara hiyo naye tapeli, wewe mwenyewe ukianza tu kuifanya unakuwa tapeli.
  12. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Ukweli unabaki palepale kwamba wanaofanikiwa kupitia biashara hizi za mtandao kama fx ni wachache sana ukilinganisha na wanaopata hasara, wengi wanateketeza fedha zao kwa namna wanavyoshawishika na kuingia kufanya biashara hiyo lakini pia wengi wamepotezewa malengo yao. Cha msingi watu wachukue...
  13. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Mwenye maarifa ni nani, yuko wapi, anapatikana wapi, maana kila anayetrade ni mtaalamu zaidi ya yote atakurundikia vitabu, video hapo ndo anakufundisha, hata hivyo mafanikio yenyewe ni kusimuliana tu uhalisia hauonekani.
  14. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Frelancer ni nzuri, kwa sababu wao wanatangaza kazi fulani na wewe ukiona hiyo kazi unaimudu ndio unaiomba ukikidhi vigezo mnafanya na mhusika makubaliano changamoto yake inabakia kwenye uaminifu wa namna ya kutekeleza makubaliano yenu. Na huo mfumo pia upo katika GURU. Kwa maelezo hayo mafupi...
  15. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Pesa kwa pesa lazima upoteze pesa.
  16. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Watu wanaoifanya hiyo biashara ni rahisi kuwasikia wakiipamba mara utawasikia wakisema aliyeteketeza hizo fedha alikurupuka, hakuwa na elimu sahihi ya trading, mara hakuelekezwa, wengine hakujidhatiti kwenye biashara hiyo ila ukweli wahanga ni wengi wameshalizwa na wanaendelea kulizwa...
  17. Jurudyiza

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Hata kama ikitokea ukaupata utajiri kiurahisi kuna uwezekano mkubwa ukapotea kiurahisi kwa sababu ya haujauwekea msingi mzuri wa kusimamia huo utajiri wako, mafanikio mazuri ni yale ambayo umeyatengenezea njia au Channel ya kusapot utajiri wako, ukiona bahari, ziwa halikauki maji ni kwa sababu...
Back
Top Bottom