Search results

  1. Cmfungua

    Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Yule dogo mjinga alikunywa kupita kiaas hata dawa za hosp ukinywa nyinyi zna madhara
  2. Cmfungua

    Afariki baada ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Madhara ya energy ni yapi mkuu wee ndo mkeamia tupe shule
  3. Cmfungua

    Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Daaaaaa nimcheka balaaa ila ok ila lowasa akujenga shule hizo ni kikwet ndo alie jenga shule mpe maua yake bana
  4. Cmfungua

    Natafuta soko la haya madini

    Kibali ntakata kabsa wala sio shida
  5. Cmfungua

    Natafuta soko la haya madini

    Sijawahi mtapeli mtu katka harakat zangu za kusaka ugali
  6. Cmfungua

    Natafuta soko la haya madini

    Naomba msaada napata vip soko
  7. Cmfungua

    Natafuta soko la haya madini

    Aje PM tuongeee
  8. Cmfungua

    Natafuta soko la haya madini

    Nmekuwa nikimiliki eneo kubwa sana, katka eneo langu kuna sehem haya madini yanapatikana kwa wingi sana sasa natafuta soko lake Atakae nipatia soko lazma atapata 5% ya mauzo Ahsanten
  9. Cmfungua

    Dream League Soccer 2020 special thread

    Tatzo la hili game uwez kuuza mchezaji
  10. Cmfungua

    Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Nilkuwa nafanya mishe zangu za kitaa nikanunua gari... mungu ni mwema nikapata na kazi nikaanza kaz huku namilik gari wacha weee idara nzima tulio kuwa na gari tuko 4 boss hana gari aisee nilijuta maneno kibao mara naringa mara mvivu kazn
  11. Cmfungua

    Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

    Kumbuka kuna mambo ya kishikina na ukijitia mjanja ukawazid maendeleo wanakuloga
  12. Cmfungua

    Wale wote tulio tapeliwa kuusu kuagiza vitu China kwa bei raisi tukutane hapa

    Niagiza vitu vingi sana mashuka mapazia vyombo na tv
  13. Cmfungua

    Wale wote tulio tapeliwa kuusu kuagiza vitu China kwa bei raisi tukutane hapa

    Kulikuwa na group moja la whtsap niliungwa na rafiki angu ninae muamin sana Ajenda ya group ilkuwa nikuagiza vitu China kwa bei ndogo Na walikuwa wakituma picha nzuri za bidhaa mbalimbali ekheeeee Wacha na mie nione nimepata chimbo la vitu nikaweka kama lak 3 kianzio, nikaona watu ni wengi...
Back
Top Bottom