Search results

  1. J

    Msaada: Shekilango kuna ofisi ya mabasi yanaenda Kusini?

    Kuna ofisi yoyote pale Shekilango ya kampuni ya mabasi yanayoenda kusini? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  2. J

    Msaada Ajira Portal

    Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
  3. J

    Msaada Ajira Portal

    Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
  4. J

    Nashindwa kupakua app

    Habari wana JF, Naomba msaada ili nipakue app kutoka playstore. Nimeshindwa kwa sababu nahitajika kuweka password ya email yangu na nimeisahau hiyo password.
  5. J

    Check operator service

    Nikipiga simu naambiwa "check operator service". Hivyo siwezi kupiga simu. Naomba msaada katika hilo.
  6. J

    Ajira halmashauri ya wilaya Bunda

    Soma zaidi hapa chini
  7. J

    Simu kuonesha 'charging' wakati haijawa connected

    Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
  8. J

    Simu kuonyesha charging wakati haijawa connected

    Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
Back
Top Bottom