Nashindwa kupakua app

Nashindwa kupakua app

Jackson10

Member
Joined
Jun 4, 2021
Posts
36
Reaction score
24
Habari wana JF,

Naomba msaada ili nipakue app kutoka playstore. Nimeshindwa kwa sababu nahitajika kuweka password ya email yangu na nimeisahau hiyo password.
 
Itabidi uombe msaada kwa mtu, upakuliwe [emoji23]

Chief kama umesahau password hapo kuna sehemu wanakwambia kama umesahau password, unabofya hapo unafuata hayo maelekezo kisha utapata kujaza password nyingine.
 
Rudisha simu kwe mwenyewe...

Maana email kama ni ya kwako kurudisha password ni rahisi sana...
 
Back
Top Bottom