Search results

  1. Y

    Barua ya wazi kwa vijana wanaokwenda kuanza maisha ya kujitegemea kwa mwaka huu 2016

    Umenena vema kijana.Asante sana kwa ujumbe wenye kujenga taifa.
  2. Y

    Nataka serikali mbili tu.je wewe kwanini unataka serikali tatu.

    Mimi nataka Serikali moja tu maana kama mbili zimeshindikana nadhani tatu itakua ishu pia...nawakilisha!!..​
  3. Y

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Mm nazani kila mtu ana maamuzi yake na nchi yake ila nazani watoe tu mitandao yao itabuniwa mingine dakika sifuri kwahy sio ishu........
  4. Y

    Msaada wa jinsi ya kuishi na mwanamke aliyezaa nje kabla...

    Mimi nazani dalili za mvua ni mawingu uyo mwanamke atakua bado ana mapenzi na ex wake kwahiyo subiria lolote na usipo kua mkali na kujaribu kumueleza ukweli mkeo basi dakika si nyingi watajikokota na ex wake kwenye stage nyingine ya kukumbushiana.
  5. Y

    Chama Kipya cha Siasa Kusajiliwa

    Chama cha ACT ni kweli kipo na nimeshaona kadi kadi ya mwanachama mmoja wapo , wanaendelea tu kuvuna members kwa kufujo ila sanax2 mkoani kigoma na wilaya zake maana Zitto ndipo anapokubalika sana na ndugu zake ila wasix2 wangu tu ni hiki chama pia kuja kuonekana cha kikabila hivi karibuni......:)
  6. Y

    Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

    Himidini upo sawa kabisa awa viumbe wenzetu wakati mwingine ni ngumu sana kuwaelewa na ukizingatia waliumbwa kama wasaidizi wetu wa karibu katika maisha basi nazani wana uwezo mkubwa wa kuvumilia na kupretend kua na mwanamme wa aina yeyote tu ata kama hakubaliani naye moyoni mbaya zaidi ni ata...
  7. Y

    Natamani Niache Kazi

    Tunapo maliza shule tu na kuingia mtaani , pale ndo tunakutana na hali halisi na shule ya ukweli ya mtaani , kitu ambacho tunakuja kugundua ni kua yale makaratasi yetu darasani hayakua na msaada mkubwa sana zaidi ya kukuandaa kua tegemezi kwenye mifumo rasmi ya ajira ambayo ata kama utafanikiwa...
  8. Y

    Watanzania wanatapeliwa TELEXFREE viongozi mko wapi

    Kiukweli hakunaga hela inayopatikana kiurahisix2...
  9. Y

    Majaribu yanapotokea katika maisha

    Dunia tambala bovu,walimwengu ndo walivyo...tenda wema nenda zako usitegemee sana kulipwa ata kama ni mkeo/mumeo wakati mwingine kumuwekea dhamana binadamu anaweza kuamua tu kukushangaza na kusahau wema wako wote.....R.I.P Joseph.
  10. Y

    For the lazy ass dudes

    Daah umelenga ikulu muungwana alafu njemba za namna hiyo kwa lawama zisizo na mashiko awajambo!!!!
  11. Y

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Pole yake ila tatizo ukiamua kufanya biashara hii kwa namna yeyote ile hauna tofauti na muuaji maana madhala ya dawa za kulevya kwa jamii yetu ni makubwa sana na inasikitisha sana kupita kiasi....
  12. Y

    Merry Christmas to all member of JF !!!

    Nakutakia sikukuu njema pia na Mwenyezi Mungu akubaliki katika ndoto zako na mipangilio yako mema yote.
  13. Y

    Top 10 things navyo tamani kuvifanya 2014..

    Kweli JF imevamiwa,ngoja wenzako wa FB wajekukuongezea mawazo.....
  14. Y

    Ujasiria Mali Na Ujasiria Mwili Vinavoenda Bega Kwa Bega!( Mume wa Mtu Part 2!)

    Dah sio mchezo lara1, endelea tu kutupa makavu na uhalisia wa mambo
  15. Y

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Kwa kifupi mdogo wangu mapambano ya mtaani ndo kipimo tosha cha ukufunzi wako.
  16. Y

    Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30

    Tized upo sahihi ndugu yangu.....
  17. Y

    Lg g2 more than smart phone,more than s4

    Daah kweli lg ni babalao.....
  18. Y

    Uchambuzi wa dr. Lwaitama kuhusu sakata la Zitto na maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA

    Asante dr. Lwaitama kwa uchambuzi makini walau nimeweza kupata mwongozo katika sakata ilo linaloendelea chadema.
  19. Y

    Inaumaa we acha tu

    Tenda wema nenda zako mjomba otherwise utapasuka kichwa maana hii Dunia ni nzuri sana tatizo tu binadamu.
  20. Y

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Daah balaaaa Tz naona dini za kuja a.k.a za wageni zinatusambalatisha bila huruma.....
Back
Top Bottom