Search results

  1. S

    Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Kwani kocha akipanga kikosi kibovu watanzania pia tunajua mchezaji gani anaweza yupi wakawaida
  2. S

    Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

    Nasikia kuna msanii aliwahi kusema kirefu cha TFF ni Tanzania Football Failure. Naomba wanaojua lugha ya malkia wanisaidie
  3. S

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Sasa wakiripotiwa kuna tatizo gani kwani siwamefanya mambo ya hovyo wenyewe
  4. S

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Kwakweli huo niunyama kumuanika mgonjwa mapokezi muda wote huo. Kwani wakimpa kitanda inawagharimu nini
  5. S

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Acheni utani na klabu za watu. Mtashtakiwa
  6. S

    MSAADA: Kurudisha simu yangu iliyoibwa

    Tupe namba za huyo polisi tumpigie tumwambie aache usumbufu
  7. S

    Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

    Piga nyundo ponda kabisa uachane na tabu na maradhi
  8. S

    Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Anachezatu na mkwapa wake anajiona yumo kwelikweli kumbe cherema tu
  9. S

    Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Eti watoto wanaimba upuuzi kaka yao anachezea kwapa. Haya yapo Afrika bara ambalo liliitwa bara la giza
  10. S

    Walioanzisha kodi leo wanaziita kandamizi na kuagiza zifutwe

    Wanatengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe. Kiini macho
  11. S

    Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

    Mbona hata serikali inatoa msaada wa vyakula kwa wahitaji? Acha wenye uwezo wasaidie wanaohitaji
  12. S

    Tabia ya Waarabu kugawa nyama misikitini imekaaje?

    Idadi ya mifugo inayochinjwa sio tatizo maana inatokana na uhitaji. Linhekuepo tatizo kama ungeelezea NAMNA wanavyochinja kutokana na imani yao. Unaposema unashangaa wakitoa chakula na kitoweo kwa watu hujui kama wamekidhi hitaji lamsingi la binaadam? Ukisema bora mtu apewe mbegu ya matunda...
  13. S

    Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Vile ile takwimu ulisema ni uwiano wa ngapi kwa ngapi kwa ngapi
  14. S

    FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Dunia duara. Kama ikiwa Tundu anashabikia Singida ingefaa zaidi akakaa kiti jirani na Madelu
Back
Top Bottom