Search results

  1. UP TO DATE

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Heri leo sijaamua kuangalia mechi yetu na Liverpool kabisa,maana unazi ukizidi utaumia roho tu...poleni Sana mashabiki wenzangu wa man utd mlionunua na pop corn kabisa ili kufurahia burudani yenye majonzi...naamini sasa Kama mashabiki wa man utd tulishaanza kuzoea shida tayari basi hata hili...
  2. UP TO DATE

    Wataalamu njooni hapa

    Hah dah eti kajumba ka uswahili,suala la uchawi Lina angle nyingi sanaa,unaweza kurogwa kwa njia nyingi...au unaishi kwa kujishtukia Nini?...jifunze kusema hapana au nimeshiba.
  3. UP TO DATE

    GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

    Hiyo skuz achana nayo kabisa,hakuna Kama yeye Kati ya hao wawili...Iniesta na Xavi wanalifahamu hili hadi timu yao ya Barca siku mojamoja hutenga muda kumuangalia paolo...
  4. UP TO DATE

    Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Mbona Kuna wazuri Mara kumi ya Venance Mabeyo,muda umefika...
  5. UP TO DATE

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi najiuliza tu like teke la farasi la Maguire lililompata pogba lilipigwa kwa makusudi au bahati mbaya,hivi urukaji gani ule wa kubetua miguu Kama unapiga sarakasi jamani...
  6. UP TO DATE

    Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Yani hata sielewi lile teke la farasi limepigwa kwa mfumo wa aina gani...huyu Maguire huyu.
  7. UP TO DATE

    Hawa ndio wanaume wa shoka

    Hizi mechi za hawa jamaa bana hadi ifike second leg ndo unapata uhakika...
  8. UP TO DATE

    CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

    Wote wezi tu hakuna afadhali kila awamu ni ya wezi tu toka uhuru,vingine vinaogopwa kusemwa au vimefichwa makusudi visijulikane ili kulinda legacy fulani bin fulani...
  9. UP TO DATE

    TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Unaweza chosha tu ubongo wako,maswali kibao kichwani.
  10. UP TO DATE

    Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Kaamua kuchagua njia yake,basi apite anapoona inafaa naamini management yake inaona vizuri...
  11. UP TO DATE

    FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

    Daah,sikubahatika kucheki mechi, nilipokuja kuona highlights kwa kweli sikuamini Kama Bavarians katoka...so sad.
  12. UP TO DATE

    Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    Usije ukadhani ni bahati mbaya kuitwa majina mengi Mara mawe,njugu,shekeli,mavumba nk siyo majina ya bahati mbaya haya,yanamaanisha ohoooo...
  13. UP TO DATE

    Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

    Mambo ya biashara na mambo yako binafsi,vitu viwili tofauti...
  14. UP TO DATE

    Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

    Tunasubiri dunia itarudi lini zama za mishale na mikuki...
  15. UP TO DATE

    Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi

    Ndo nchi inafunguliwaga hivi au siyo!...
  16. UP TO DATE

    Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

    Hatuna ubavu wa kushindana kipesa na timu za Afrika ya kaskazini...
Back
Top Bottom