Makonda alipomtukana Lowasa. Akawa, DC na hatimaye RC, ilikuwa chachu kwa vijana wa CCM walioanza mashindano ya kutukana wakubwa. Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
Asante Synthesiser kwa kuleta hii hoja. Binafsi nimesikitishwa sana na jinsi Watanzania walivyoacha kufanya shughuli za ujenzi wa taifa na kwenda kushangaa ujio wa treni. Hali hiyo ilinikumbusha kisa cha kitambo kidogo.
Kwa wale wakazi wa eneo la Mombo, njia ya kuelekea Moshi watanielewa...
Check ownership ya TIB, 100% Government owned; nadhani mkazo uwepo kwenye compliance ya hizi benki; so that yanatoa huduma kwa uadilifu kwa maendeleo ya wananchi wote.
"Hebu niwaulize, hii ni mara ya kwanza majina kutajwa, tukianzia list of shame, si viongozi waliharibiwa heshima yao, mbona hatukuona vyombo vya habari kuwatetea watu hao"
Ni hivi, hakuna anayepinga vita dhidi ya dawa za kulevya Mzee wetu Warioba, tatizo ni appoach ya kutatua janga hilo...
Jamii Forums ni ya Great Thinkers; Huyu Kibamba bado anapeleka ujumbe kwa kuandika, at least niki-cite articles mbili alizoandika kwenye The Citizen, moja akionyesha ni namba gani 'Qualitative Governance' ita suffer China ya JPM, na nyingine alichambua habari ya Serikali kuhamia Dodoma. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.