Search results

  1. J

    UKWELI MCHUNGU

    Nimpongeze JPM kwa hatua za uzalendo anazoendelea nazo kulinda rasilimali za Taifa. Baada ya taarifa ya makinikia kusomwa aliagiza watendaji wote kuanzia 1998 washughulikiwe kwa kuchunguzwa. Ninajiuliza swali, hivi baada ya kushughulikia uozo uliokuwepo pale bandarini na kuwezesha mapato...
  2. J

    Dr. Kafumu ageuka kuwa mtetezi wa migodi inayotuibia mchana kweupe

    Amakweli, lisemwalo lipo. Soma makala hii ya Dr. Kafumu kupitia gazeti moja la Bw.Mengi uone jinsi anavyojipambanua kuwa mtetezi wa migodi inayotuibia mchanakweupe. Niliwahi kusoma humu JF uzi mmoja siku za nyuma uliomtaja Kafumu kuwamiongoni mwa watu waliopatiwa fedha na baadhi ya migodi kwa...
  3. J

    Raia wa USA walioficha fedha Uswisi wakiona cha moto

    SWISS BANK WEGELIN TO CLOSE AFTER US TAX EVASION FINE (BBC NEWS) Wegelin admitted that its actions had been "wrong" Continue reading the main story Related Stories £40bn of UK money in Swiss banks Germany rejects Swiss tax deal Switzerland's oldest bank is to close permanently after...
  4. J

    TMAA yaongeza makusanyo ya maduhuli (mrabaha) ya madini

    na Chalila Kibuda WAKALA wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) amefanikiwa kuongeza mapato ya serikali yatokanayo na makusanyayo ya mrahaba kwenye uchimbaji na mauzo ya madini ya ujenzi mara 70 kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na...
  5. J

    Maskini Tanzania inaporomoka kila kukicha, why?

    Wana JF, nimesoma chapisho la Doing Business in Tanzania nikachoka kabisa (soma mwenyewe). Hivi kwa nini tunashuka kiasi hicho katika maeneo yote muhimu? Nadhani ifike mahali rais wangu mteule JK timua viongozi wote wachumia tumbo ili tuweze kupiga hatua. Haiwezekani tuendelee kuwa nchi ya...
  6. J

    Napendekeza kufanyike maandamano ya vyama vyote

    Wana JF napendekeza kuwepo na maandamano ya vyama vyote vya siasa kutokea Mnazi Mmoja hadi Uwanja wa Taifa. Maandamano hayo yaongozwe na CCM, CHADEMA, CUF, NCCR, UDP, na vyama vingine. Wanachama wakae kwenye kundi la vyama vyao ili kujua chama kipi kina wanachama wengi. Hakuna kutoa posho wala...
  7. J

    Kampuni tatu za madini zadaiwa kodi ya mabilioni

    KAMPUNI tatu za madini zinazoendesha shughuli zake nchini, zimewekewa vikwazo na Serikali ikiwa ni kuzishinikiza kulipa mabilioni ya fedha za kodi inazodaiwa. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na uongozi wa Wizara ya Nishati na Madini zimetaja kampuni hizo kuwa ni Tanzanite One, Mgodi wa...
Back
Top Bottom