Search results

  1. L

    Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    Yaani wewe nadhani hata hujasoma kilichoandikwa, au uelewa wako mdogo. Sasa hapo tatizo umeshaambiwa ni processes tu za kutanua utendakazi wa border, lakini akili zako zinakutuma kueneza chuki kati ya Kenya na Tz. What a dump mentality! Hizi ni changamoto za kiutendaji wala hamna Cha bifu za...
  2. L

    Equatorial Guinea imekuwa nchi ya 24 Afrika kufuta Adhabu ya Kifo

    Madarakani miaka 43, mwanaye ni mmoja wa makamu wa Rais. Mwanawe kasifia hatua hii akiita ni ya kihistoria. Huu ushenzi wa baadhi ya viongozi wa Africa utaisha tu, siku moja. Equitorial Guinea ni nchi iliyo na utajiri mkubwa zaidi Africa kwa ajili ya madini ya mafuta. Lakini wananchi wake...
  3. L

    Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Serikali za Africa mashariki Zina Fanya uzembe mkubwa kutowekeza kwenye kilimo Cha ndani. Yaani uwekezaji haswa. Matumizi ya technologia ya kisasa katika kilimo ndio njia pekee ya wananchi wake kupata chakula Cha kutosha. Kilimo tegemezi kilishapitwa na wakati, yaani kusubiria mvua tu ili mazao...
  4. L

    Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

    Kila la kheri Champ! Nilijua lazima wangekufanyia hila yeyote Ile. All the best!
  5. L

    Kenya 2022 Mahakama Kuu yamruhusu Odinga kukagua mifumo ya kuhifadhi taarifa za Uchaguzi ya IEBC

    The petition is quite frivolous. Everyone who is rational can see that.
  6. L

    Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Hii petition ya Raila ni upepo tu, hamna kitu, lakini wafuasi wake ni wepesi wa kuzusha vurugu licha ya kwamba wanajua jamaa kashindwa. Ndio maana marekani wanatoa tahadhari.
  7. L

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

    Unaanza kubweka saa ngapi brother 😅😅 tujulishane mda
  8. L

    Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima🎸🎺🎷🤸🕺🎸
  9. L

    Kenya 2022 I'm yet to speak to Uhuru, says Ruto after win

    Congratulations Kenya, we finally have our own 'Magufuli' moment👏👏👏👏👏 Hapa kazi tuu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
  10. L

    Twitter imeanza kuonesha matokeo ya Uchaguzi wa Kenya yasiyo sahihi

    William ndiye Rais wa tano. Hilo halina ubishi
  11. L

    Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Wasanii dawa Yao ndio hio. Huwa mda mwingine wanazingua sana. Afu ukisha Fanya booking, iwapo atakuja ni mida ya saa saba au nane usiku, na anapiga show kwa dakika 40 tu. Huku ulishafanya malipo yote. Yaani .
  12. L

    Biden asaini amri ya kulinda haki ya kutoa mimba

    Huyu mzee kaishiwa na sera kabisa. Imebakia tunkukatisha uhai wa wasio na hatia
  13. L

    Kenya 2022 Mdahalo wa Urais: Ruto amkaanga Odinga, asema hana la kuwaambia Wakenya

    True. Odinga ni kibaraka Cha Uhuru kwa hiyo hana agenda yeyote ya kutetea kwa wakenya.
  14. L

    Kenya 2022 Kenya: Baraza la Habari laagiza uchunguzi wa kushambuliwa kwa wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kenya kuna uhuru wa vyombo vya habari, lakini wanahabari wenyewe ni 'guns for hire by the political class haswa serikalini. Wamejisahau sana kipindi hiki tunapokaribia uchaguzi. Yaani media house inampigia debe mgombea anaeungwa mkono na serikali (Raila Odinga) kwa hiyo wanampa coverage kubwa na...
Back
Top Bottom