Search results

  1. K

    Naomba connection ya mabelo nguo za mtumba Mwanza/Katoro

    Kwa Mwanza nenda Mlango mmoja ( lango) karibu na Mabatini,ndo soko maarufu la mitumba Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  2. K

    Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Unaenda ofisi yoyote ya tigo ukiwa na NIDA au kitambulisho chochote mfano cha kupigia kura au leseni ya udereva,unajaza fomu unachagua bundle kulingana na uwezo wako kiuchumi
  3. K

    Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Kwa sisi wa awali bundle imebaki hivohvo,wa Sasa ndo imepunguzwa Karibu nusu yake hasa kwenye mb
  4. K

    Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Mi ndo ninayotumia,Ni huduma nzuri sana,Nina mwaka na zaidi naitumia,kwa elf 30 kwa mwezi napata gb 24, dk 2400( mitandao yote) na sms 500 . Ifikapo trh 1 ya kila mwezi unawekewa bundle yako Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  5. K

    Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

    Jumanne kuanzia saa 4-7 usiku,mtangazaji ni Charles Machugu, anajitahidi kwa kiasi chake Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  6. K

    Suala la Gender

    Masahihisho kidogo Gender=jinsia Sex=Jinsi
  7. K

    Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Leopold Taso Mukebezi Said Mwamba Kizota Hamis Gaga Charles Boniphace Mkwasa Said Maulid (SMG) Deo Mkuki Dua Said Gaidence Mwaikimba Fred Mbuna
  8. K

    Bei ya chumba cha kupanga Geita mjini kati

    Bei inatofautiana kulingana na chumba kilipo, mjini ni kuanzia elf 60-100,000( self contained room) maeneo Kama Mwatulole, Nyankumbu au Mkolani ni kuanzia elf 50. Vya kawaida ni kuanzia elf 30+ kutegemeana na mahali kilipo, Niko Geita mjini kwa maelezo zaidi njoo PM.
  9. K

    Wasiokujua kwa utamu wako ni wachache sana

    Umenikumbusha nyumbani wa kwetu
  10. K

    Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

    Nikwo nikwo kyoma[emoji2][emoji2]
  11. K

    Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    Situation ka hii ishawai nikuta,Nilikuwa namfowadia mtu porn nkasahau nkaituma on my status,Japo niliifuta haraka lakini Siku nzima niliishiwa amani kabisa,Ilifikia hatua nkahisi wabaya wangu wenye WhatsApp gb wanaweza kunirepot TCRA nishitakiwe kwa makosa ya mtandao.
  12. K

    Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

    We ni kama mimi kabisa
  13. K

    Kwanini huwa tunahama usiku?

    Umetisha mkuu[emoji3] Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  14. K

    Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

    Jaji mstaafu Augustino Ramadhani Augustine Mahiga Arcado Ntagazwa
  15. K

    Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

    Kuna imperial soap, nayo ni brand kongwe worldwide
Back
Top Bottom