Hii ya 210,000 ndio ambayo monthly utakua unalipia 70,000 na unapata speed ya 10mbps. Vipi kwenye ufanisi wake wa spidi haisumbui, kwenye kazi za kawaida kuingia online whatsapp na kudownload files ndogondogo
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps.
Naomba Ushauri, ili...
Habari Wana jamvi,
Nimekua nikisikia Kwamba, Kama ni mwanaume upo kwenye ndoa ama unaish na mwanamke na umebahatika kupata mtoto. Ukianza kutembea na wanawake wengine nje Mtoto wako Afya itaanza kunyong'onyea.
Je, Kuna Ukweli Wowote Kuhusu hili.
Naomba Ufafanuzi
Mshana Jr
GENTAMYCIME
Robert...
Habari wadau!
Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla.
Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop.
Ahsante
Habari wadau, ! Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla.
Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop.
Ahsante
Asante sana kaka, Noted. Tangazo mtandaoni ukipatia kuliseti basi utachekelea tu matokeo yake maana wateja watakua wanamiminika tu, na bajeti inakua reasonable sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.