Search results

  1. Mangandula

    Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Jinsi ya kujua kama hiyo Card ni Nvidia GeoFoce 720 nafanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mangandula

    Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Laptop ninayotumia kwa Video editing ni Acer Intel Celeron Processor 575(2.0ghz, 667Mhz FSB, 1MB L2 Cache) 15.4 WXGA LCD Up to 220 MB Mobile Intel Graphics Media Accelerator 4500M 1GB DDR2 160 GB HDD DVD-Super Multi DL 802.11b/g WLAN. Naomba ushauli nitafute nyingine au naweza kuiboresha hihii...
  3. Mangandula

    Nanunua Mayai

    Unanunua bei gani kwa trei?
  4. Mangandula

    BoT na CMSA wautahadharisha umma kuhusu Taasisi ya Upatu ya D9 Club

    Kuna mwingine ameanzisha huo utapeli unaitwa Elnet Africa ni bonge la utapeli na wengi wameanza kulia tayari.
  5. Mangandula

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Je kama nahitaji kulipwa pesa kutoka kampuni furani ya nje kwa dora na nahitaji ziwe Tsh kupitia M-pesa au Tigo pesa nafanyaje?
  6. Mangandula

    Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

    Hiyo. Kazi ya Cocacola wanawezesha kufungua kiwanda lakini Raw matiarial unaagiza kwao tu
  7. Mangandula

    Ahsante Dangote na serikali, bei ya cement Morogoro 9,800

    Mbona Dangote ukitoa Oda anakuletea na maloli yake hebu jaribuni kumtafuta.
  8. Mangandula

    Benki gani inatoa mkopo kwa riba rahisi?

    Hebu nielekeze mm nibust kabiashara kangu.
  9. Mangandula

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Umesema kweli! Maana nchi hii kwa unaaa inaongoza!
  10. Mangandula

    Mizania ya dhana ya kubeba Gundu au Kismati kutoka kwa Uliengonoka nae Punde.

    Ni kweli lizikeni na wake zenu! Na msiooa oeni au usizini mpaka ukioa. Nuksi ni pale unapovunja Amri ya sita!
  11. Mangandula

    TANESCO management ibadilishwe yote kuanzia directors, regional managers, district managers etc

    Mkuu uko sahihi sana, Tanesco hawako kibiashara kabisa maanake ukiangalia ukilitimba walionao unashangaa! Ukihitaji kufungiwa umeme mpaka utoe rushwa kama vile umeme unapewa bure!
  12. Mangandula

    Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    We ni chambo ya kuboost biashara pindi ikiyumba lazima uchukuliwe msukule kwa vyovyote iwavyo labda uokoke leo hii kabla mambo hayajakugeukia maana huwezi kuvuna usichopanda!
  13. Mangandula

    Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Dk, Kigwangala si yupo jamani? Atashughulikia tu hii ishu!
  14. Mangandula

    Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Vipi kuhusu dawa ya upara bado unayo?
  15. Mangandula

    Videos & Audio production special thread (Softwares)

    Habarini wakuu humu ndani? Naomba mwenye software ya Corel studio X6 au x5 kwa ajili ya kueditia video, aliye nayo Pm Tafadhali.
  16. Mangandula

    Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Nafuu ya senene kuliko kumbikumbi zinazopukutisha mabawa, Mnajifanya kupoteza Hata kumbukumbu Hata kwa vitu vinavyoonekana live!
  17. Mangandula

    Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Kwani waliobeba kwenye sandarusi walichukua wapi sio bank?
  18. Mangandula

    Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Anajua anachokifanya nyie mwacheni kelele za nini? Magufuli piga kazi tupo nyuma yako!
Back
Top Bottom