Umeandika pumba tupu. Hivi una uhakika Magufuli ndio mtekaji???
Utaendelea kujifariji kwa comment kama hizi na member wenzio humu ndani usiporuhusu ufahamu wako ufanye kazi mpaka akili ikukae sawa.
Huko ghana kuna platform moja ambayo ni kama jamii forum huku. Nao wanasema bora wampe shetani kula kuliko huyo mzee akufoh. So mnayosema hapa wala hayashtui.
Namnukuu baba lao aliyosema mei mosi 2016.
"Lakini mimi nikaona badala ya kuongeza mishahara, tujenge sgr na miundombinu mingine ambayo itasaidia baadaye, lakini nawaahidi ndugu zangu wafanyakazi kabla ya kipindi changu kuisha nitawaongezea mishahara na nyongeza itakuwa nyongeza kweli kweli sio...
Kilicho baki humu ndani ni kujifariji kwa nyuzi kama hizi na kuzipa thanks nyingi kwa miaka mitano ijayo halafu 2025 mnapigwa mtama mwingine halafu mnaendelea kulia lia hadi akili iwakae sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.