Search results

  1. hnp

    INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama; mashine ya kufumia viroba,vifaa vya kusafishia mashine, chekecha la mahindi, pipa na pia ukiwemo mzani...
  2. hnp

    Natafuta muwekezaji(investor) wa Shilingi milioni 2.5 tu

    Habari wana JF! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natafuta mtu wa kuja kuwekeza Milioni 2.5 tu katika biashara ya kusaga na kukoboa mahindi pamoja na kuuza viroba vya sembe na dona, Viroba vitakuwa kwa mfumo wa 25kg, 10kg, 5kg. Kila kitu kipo cha kuweza kusagisha na kukoboa...
  3. hnp

    Mashine inauzwa ya kusaga na kukoboa

    Habari wana JF! Mashine hii inauzwa na bado haijapata mteja bei yake ni Milioni 5 tu. Unapewa kila kitu ikiwemo; mzani wa kupima hadi kg 300, motor n.k. Haina tatizo lolote ni vile tu tajiri ameamua kubadili biashara. Ipo Dar Es Salaam, Gongo la Mboto-Majohe(Unaweza kuihamisha ukitaka). Mashine...
  4. hnp

    INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa inauzwa

    Habari wana JF Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa pamoja na vifaa vyake ikiwemo sehemu ilipofungiwa umeme wa three phase, maeneo ya Dar Es Salaam, Gongo la Mboto. Mashine ina miezi 10 toka inunuliwe, njoo na bei yako tuzungumze. Risiti zake zipo.
  5. hnp

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Bomba mbili

    Habari wana JF! Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea). Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla hujafika Gongo la Mboto), Dar Es Salaam . Kwa maelezo zaidi na alie serious kuinunua njoo pm.
  6. hnp

    Rushwa kwenye usaili

    Habari za saiz wadau, Hivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF? Karibu tujadili.
  7. hnp

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya samaki wabichi

    Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika biashara ya samaki wabichi hasa Perege na Kambale. Yeye kazi yake itakua kunitumia mimi huku Dar kisha mimi kazi yangu kuwauza. Nicheck PM kama unaweza kufanya hii biashara.
Back
Top Bottom