Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya samaki wabichi

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya samaki wabichi

hnp

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2020
Posts
276
Reaction score
475
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika biashara ya samaki wabichi hasa Perege na Kambale. Yeye kazi yake itakua kunitumia mimi huku Dar kisha mimi kazi yangu kuwauza.

Nicheck PM kama unaweza kufanya hii biashara.
 
Kambale wa ukubwa gani? Na mzigo ukiletwa unalipa baada ya muda gani?
 
Kambale wa ukubwa gani? Na mzigo ukiletwa unalipa baada ya muda gani?
Ukubwa wasipungue kg 1 hivi. Kuhusu malipo nitalipa cash baada ya kuupokea mzigo.
 
Back
Top Bottom