Search results

  1. M

    Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

    Mbona wewe ndo husomeki?
  2. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Unamlaumu mama bure tu. Waziri wa nishati kazi yake ni nini sasa? Halafu umekata tamaa mapema mno. Ndiyo kwanza mama ana miezi miwili tu. Tumpe muda.
  3. M

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Ukifika kwenye aina ya maombi...no selection.
  4. M

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Ahsante kwa kwa hii story konda msafi. Nilikuwa naifuatilia kwa ukaribu kabisa. Ila naomba utuambie je wale jamaa zako uliowatuma wakachunguze chanzo cha kifo cha Khumbu walirudi na feedback kuwa chanzo ni hicho cha kubanwa na mbavu? Hapa umetuacha njiapanda. Ahsante.
  5. M

    Rayvanny amuomba radhi Kajala Masanja

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. M

    Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakati mnaomba Mungu aliepushe taifa na Corona, muombeeni na huyo Rais wenu pia.
  7. M

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

    Nimegundua sisi ni maboss tunaopelekeshwa na wafanyakazi wetu.'''''!! Imagine walituomba kazi af leo wanatuambia hivi.....?? Kwanini maboss wenzangu tusiamke nakuwafuta kazi???
  8. M

    Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Hivi kile chama cha walimu hakioni hili tatizo?? Kwann hakiazishi mfumo wakuwapokea hawa vijana pindi wakimaliza chuo ...kuliko kuwaacha wakizagaa na kufanya thaman ya hiyo kazi ya ualimu kushuka?? Ifike pahala viongoz wajue uhai wataifa lolote lile ni elimu. #Vijana wenzangu wenye vyeti vya...
  9. M

    Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

    Mnapata wapi nguvu na mda wa kujadili hayo wakati mafuta ya kula kitaa lita elfu 6....''.kuweni serious basi.
  10. M

    Hivi hizi ajira 5000 za waalimu ni zinazozungumziwa ni zipi!?

    Fanya tafiti kwenye hilo suala utakuja kuniambia.
  11. M

    Hivi hizi ajira 5000 za waalimu ni zinazozungumziwa ni zipi!?

    Mkuu vipi...ulishawahi kujitolea kwenye shule yoyote..kama hapana subiri awamu nyingine.
Back
Top Bottom