Search results

  1. Vinci Dayot Upamecano

    Wastani wa kipato cha mafundi kwa mwezi

    Unaleta dharau kwa sisi fundi nguo sio? Sasa mbona hujatu'mention!!
  2. Vinci Dayot Upamecano

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer... [emoji2]
  3. Vinci Dayot Upamecano

    Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    Haita kuwa issue sana maana hata video za 30 Sec watu wana'ignore tu.
  4. Vinci Dayot Upamecano

    We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    Sie wapemba twaenda kwanza kavukavu, saa nne saa tano twarudi na Mchele, Samaki, Mafuta na viungo tele kisha ntaacha isiyozidi Alfu tano ya dharula.
  5. Vinci Dayot Upamecano

    Ushauri kwa msanii Harmonize

    Mh I'm big African super star, From mtwara city boy go far. Pretty morning baby see them cars, Na hazina pakukaa and I got this far. And I was born Leader, Yaani kifupi nazijua shida. Kusimangwa kutukanwa kwangu kawaida naona barida. This, Yes they call me boss, Kama hautaki sikuforce I love...
  6. Vinci Dayot Upamecano

    Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

    Jua kwanza maana ya Mbinguni mdogo wetu...
  7. Vinci Dayot Upamecano

    A Father Figure (AFF) - Albamu mpya kutoka kwa Dizasta Vina/Black Maradona

    Hivi unajua kuwa, kuna watu hawajui kama Hatia VI tayari inapatikana kwenye platform(s) zote kwasasa. Mbali na hilo, pia kuna watu hadi leo hii bado hawajaiskiliza ngoma nzuri sana za Dizasta Vina kama; -Achia jala FT Kaa la Moto -Wachezaji wa timu -A father figure -Money etc... Lakini sawa...
  8. Vinci Dayot Upamecano

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Somo zuri sana chief, ila mimi Kuna option ya "Win to nill" huwa sijawahi kuielewa kabisa, naomba ufafanuzi hapo.
  9. Vinci Dayot Upamecano

    Unywaji wa pombe na tatizo la Figo

    Smart GIN nusu 1000, anaimudu hata mtoto wa Darasa la sita.
  10. Vinci Dayot Upamecano

    Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Toa 1996 na 1997, endelea na sisi wengine... Ahsante!
  11. Vinci Dayot Upamecano

    Kwa mara ya kwanza nimetua Dodoma leo

    Una shingapii nikuletee hapo mtoto mmoja wa kirangi, mpokee nae Mwaka mpya.
  12. Vinci Dayot Upamecano

    Orodha ya nyimbo bora za Barak Obama kwa mwaka 2023

    Amapiano yakwake Asake na Boss wake Olamide. [emoji1479]
  13. Vinci Dayot Upamecano

    Dizasta vina

    Namiliki jina la ukoo sio sheli Dear, Achia jala...
  14. Vinci Dayot Upamecano

    Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Arsenal Copenhagen B.Munich PSV Eindhoven R.Madrid PSG Barcà (Atletico Madrid V Napoli nimeshindwa kutabiri hiyo vita)
  15. Vinci Dayot Upamecano

    Ni minada ipi iko vizuri kwa biashara?

    Manyara Babati, Katesh, Karatu wapelekee nguo za Special na Viatu. Kondoa Bukuru, Chemba na Galapo wapelekee Cosmetics, Nguo za kihindi na baibui usisahau Sendo za kike. Mtwara vijijini wapelekee simu, USB, Earphones na charger usisahau Sendo za kike.
  16. Vinci Dayot Upamecano

    Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Yes they call me boss, Kama hutaki sikuforce... Nisamehe kama nakukera, Ila kitaa ndo kimenipa bendera, Narusha masela mpaka walio jela, Of course of course of course... [emoji445][emoji445]
Back
Top Bottom