Search results

  1. Mama Naa

    Serikali ya CCM mmefanya kuuza mihogo kuwe Bora kuliko kazi ya Ualimu Nchini

    Amani iwe juu yenu. Ni jambo la kusikitisha sana tena mnoo kuona kada ya Ualimu haithaminiwi kabisa katika nchi ya ulimwengu wa tatu. Humu Kuna mijadala mingi kuhusu Walimu na Ualimu lakini sisi wenye ndugu na jamaa zetu huko tunapata uhalisia ulivyo. Ualimu ni kazi ya ovyo tena iliyojaa...
  2. Mama Naa

    Watumishi wengi wamekosa mikopo, hawakutoa taarifa kwa Watumishi kuomba kupitia barua na viambata vingine

    Habari wana jamvi, Hazina mna utaratibu wenu wa kutoa mikopo kwa Watumishi wa halmashauri zilizopo pembezoni kitu ambacho ni kizuri. Utaratibu wa kuomba mwanzoni ulikuwa ni kupitia halmashauri lakini mwaka huu mmekuja na mifumo. Watumishi wengi waliomba mikopo kupitia mfumo kumbe bado haitoshi...
  3. Mama Naa

    Utaratabu wa watumishi kuomba mkopo mara mbili kupitia kwenye mfumo na kwenye makaratasi ubadilishwe

    Habari wana jamvi, Hazina mna utaratibu wenu wa kutoa mikopo kwa Watumishi wa halmashauri zilizopo pembezoni kitu ambacho ni kizuri. Utaratibu wa kuomba mwanzoni ulikuwa ni kupitia halmashauri lakini mwaka huu mmekuja na mifumo. Watumishi wengi waliomba mikopo kupitia mfumo kumbe bado haitoshi...
  4. Mama Naa

    Huu ni wizi uliohalalishwa. Rais Samia keki ya Taifa ni kubwa tule wote

    Mzee Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana” MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA. Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana. Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi...
  5. Mama Naa

    Imeniuma sana kuona penye maslahi mazuri huwekana wao na familia zao

    NCHI HII HAINA USAWA KABISA. Nafasi zote za juu huteuliwa wao na familia zao au jamaa zao au rafiki zao. Mwananchi maskini kutoka Shishiyu wilayani Maswa mkoani Simiyu ambaye hana unasaba wala uswahiba na Kikwete, Nauye, Makamba, Samia au koo zao au rafiki zao au chama chao KAMWE HAWEZI...
  6. Mama Naa

    Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

    Amani iwe juu yenu nyote. Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO. Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA)...
  7. Mama Naa

    Bima ya afya kwa wote, Nchi hii hakuna jambo hata moja ambao lilianzishwa kwa ajili ya manufaa ya Umma

    Habari wana jamii wenzangu. Bima ya afya kwa wote ni muendelezo ule ule wa serikali aidha kuokoa taasisi yake au kukwapua pesa za wananchi. Hakuna jambo hata moja Serikali ya CCM iliwahi kulianzia likawa halina mlengo tajwa hapo juu HAKUNA, NARUDIA TENA HAKUNA. Hakuna jambo CCM ikalianzisha...
Back
Top Bottom