Search results

  1. davidson689

    RIWAYA: Mifupa 206

    So hii kazi ndio imeishia hapa au mwandishi bado anaandika?
  2. davidson689

    RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Eti kuzipiga kavukavu, ngoja nije huko. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. davidson689

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Umeona kitu eBay hufahamu utakipataje na umekipenda nitumie link kwenye person meseji ya jamii forum pamoja na namba yako nikusaudie kwa gharama nafuu kabisa. Mimi nimeshanunua simu na vifaa kibao vimefika. Mfano ni simu unayoiona hapo.
  4. davidson689

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari. Naomba Kwanza nikuelekeze kitu, awali eBay ilikuwa inaaminika Sana hadi kipindi Cha karibuni hapa kuna wana wameingia ndugu yangu usipokuwa makini unaibiwa. Nunua bidhaa kwa mtindo wa auction au mnada hao wanauza kwa mtindo huu eBay wapo realistic, hao wanaouza s9 dola 12 mataperi nunua...
  5. davidson689

    Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Inaonekana means ulitaka tamko lisisambazwe? Limesambazwa watu wamelisoma na mimi Kama wananchi huru wa Tanzania ninachoelewa hata wewe pia unatumiwa Kuna unaowatetea hawaukubali ushoga ila unakubaliana na mengine yote yalioainishwa kuwa ni sawa, Kama kupinga tuyapinge yote tusichague. Ila ujue...
  6. davidson689

    Kama unampenda mwanao wa kike au mpenzi wako hakikisha unazingatia haya

    Swali zuri, Wote wenye umri kama nilivyoainisha wanaweza kufika katika kituo cha kutolea huduma za afya kilicho karibu nao na wale ambao wapo shuleni watafuatwa shuleni hukohuko kwa utaratibu ambao wizara umeuandaa, kwa wale ambao ndugu au jamaa wameumwa kansa ya shingo ya kizaz wanajua umuhimu...
  7. davidson689

    Kama unampenda mwanao wa kike au mpenzi wako hakikisha unazingatia haya

    Bima ya Afya inacover chanjo ya HepB ambayo ni muhimu kila mtanzania apate kwani inakukinga na homa ya Ini. Kwa wale waliozaliwa kuanzia 2007 na kuendelea wamepata kwenye chanjo ya watoto ambayo hupewa kila wanapofikisha Wiki 6 tangu kuzaliwa, hakikisha mwanao amemaliza chanjo ya Pentavalent...
  8. davidson689

    Kama unampenda mwanao wa kike au mpenzi wako hakikisha unazingatia haya

    Chanjo anayosema Mdau hapo inaitwa HPV vaccine, chanjo hii itaanza kutolewa tanzania kuanzia aprili 2018 kwa watoto wote wa miaka kuanzia 9 hadi miaka 14, chanjo hii itatolewa BURE bila malipo na bint anahesabika amekingwa kwa kupata chanjo 2 kwa interval ya mienzi 6 toka chanjo ya kwanza...
  9. davidson689

    Kulikoni Makanisa ya Tanzania yanakengeuka? Tuanze na Tamko la KKKT

    Wenye Akili watamuelewa jamaa kwa kuzingatia historia yake na uzi alioweka, huyu naye ametoa maoni yake aachwe akapumzike.
  10. davidson689

    Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

    Muwekee link akasome huo uzi si ajabu akapata majibu huko
  11. davidson689

    Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

    Hahaha naona mabeki 3 waliopo JF wanatingisha kichwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
  12. davidson689

    Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

    Kuna wanawake wajinga sana, wao wanafikiri kumnyima mumewe unyumba ni kukomesha huwa nawacheka kwa dharau wanawake wenye fikra hizi kwani husahau kuwa wao ni wengi kuliko wanaume pamoja na hilo anasahau anafuga beki tatu, hata siku moja fimbo ya mchungaji haijawahi kuwa na urafiki na ng'ombe...
  13. davidson689

    Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

    Kuna wakati mtu unakua umeoa ila maisha ndani kama uwanja wa siasa chama tawala vs upinzani, mwisho mtu anaamua kutafuta pa kupunguzia stress
  14. davidson689

    Aina za hasira za wanawake

    Kwa tabia hizi juna wengine nahisi tunaishi na vinyonga maana wana tabia almost nusu ya hizi basi ukiona dalili ya mambo kugeuka unachukua kitabu cha mungu unaanza naombi.
Back
Top Bottom