Search results

  1. CULCULUS

    Yamekwenda wapi mabasi ya Ally's Sports Bus?

    Wakuu, Last week nilitua na ndege Dar kutoka masomoni nchini Sweden. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza na leo nimetoka Ubungo kukata tiketi ya Basi kwenda Mwanza. Cha kushangaza nimefika Ubungo na kukuta ofisi za zamani za Kampuni za Mabasi mbambali ziimevunjwa na kujengwa mpya pembeni ambazo hata...
  2. CULCULUS

    Kitila Mkumbo naomba uitishe Mkutano wa Wana Iramba Dar es Salaam

    Mwalimu wangu Kitila Mkumbo naandika hapa jukwaani nikiwa na imani kwamba unapataga muda wa kuingia na kusoma nyuzi za humu jamvini. Mimi nikiwa kama Mwana Iramba ninaetokea Kiomboi, nimesikitishwa sana na kushindwa kufanyika kwa Mkutano wa wana Iramba waishio Dar es Salaam kujadili maendeleo ya...
  3. CULCULUS

    Nauliza kiasi kilichopatikana baada ya michango yetu pale Chadema Square (Jangwani)

    Mkuu wangu Tumaini Makene (Afisa Habari wa CHADEMA) na John Mnyika (Mkurugenzi wa Habari na uenezi) pamoja na makanda wengine ndani ya CDM mimi ni miongoni mwa wadau tuliohudhuria ule mkutano wetu mkubwa pale CHADEMA Square a.k.a Jangwani na ni mmoja kati ya tuliochangia pesa za ili ziwapeleka...
  4. CULCULUS

    Professor Rwekaza Mkandala na Uongozi mbovu University of Dar es Salaam

    Mimi ni Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu hapa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mlimani. Kwa muda wangu wote hapa chuoni nimekuwa nikisikitika sana jinsi mambo yanavyoendeshwa. Na kwa mgeni anaetoka nje hawezi amini kuwa haya yanatokea katika Taasisi inayojikita katika Elimu (Academic), Utafiti...
  5. CULCULUS

    Watumishi Wizara ya Afya wamkumbuka Wilson Mukama

    Leo nikiwa nimevinjari ndani ya Ofisi za Wizara ya Afya kwa shughuli zangu binafsi niliingia Ofisi moja ambayo nilikuta Watumishi wapo katika mjadala mkali wa kulinganisha Uongozi wa Katibu Mkuu wa sasa Bi Blandina Nyoni na aliyekuwepo kabla Mzee Wilson Mukama ambae alihamishiwa Wizara ya Maji...
  6. CULCULUS

    Nahitaji Tanzania Law of Contracts Act

    Ndugu zangu mwenye soft copy ya Contract ACt of Tanzania naomba aniwekee hapa. Ninashida nayo sana jamani. Thanx in advance..
  7. CULCULUS

    Tanzania yagoma kutia saini sera ya ardhi EAC

    WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta amegoma kusaini mikataba ya Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) unaohusu sera za ardhi, ulinzi na mambo ya nje. Sitta ambaye anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa Baraza la Mawaziri wa EAC unaofanyika Burundi, aliwaambia waandishi wa...
Back
Top Bottom