Search results

  1. T

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Hakuwa mwanajeshi na walimkamata mtu ambae anafanana sana huyo jambazi ambae tuna undugu nae. Amekaa ndani miaka kumi na tano mpka alipokuja kupatika huyu jambazi ambae alikua kikosi cha jeshi Zanzibar.
  2. T

    Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

    Hii njia wanatusumbua sana hao wanajeshi barabara Kama yao. Kuna majeruhi mwanamke mmoja alikua kwenye msafara huo analia tu Mungu amsamehe na anasema akipona anaacha kudanga.
  3. T

    Nataka nianze kula mjani

    Karibu kundini
  4. T

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Sie hatuli samaki na nguruwe mila zinakataza japo sio waislam maisha yanasonga.
  5. T

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Mwaka 2017 niliitwa kwenye usaili bila hata kua nimetuma maombi, Ni simu za hongera ndio zilinishtua mpaka nikafatilia nikajua ni ukweli bahati mbaya nilikua tayari harakati zangu zinazaa matunda sikwenda. Jiamini kijana hata Kama pepa imevuja bado unayo nafasi.
  6. T

    Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Mercury hii inayotumika machimboni kwenye dhahabu au nyingine? Mbona kuna kuna watu wanaiuza japo bei ghali lkn sijawahi kusikia hizo story za utafutaji wa aina hio. Matapeli ni wengi kuwa makini.
  7. T

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Baada ya kusoma nimemkumbuka babu yangu Mayunga. Kumbe simulizi zake za ukweli japo kigo chake kina utata
  8. T

    Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Kwenye maisha usikubali kurudi nyuma hasa katika maswala ya mapenzi. Msimamo ndio nguzo pekee usiyumbe kijana.
  9. T

    Wale wanaouza mabegi, vitenge kwa mnada na kurusha pale Ilala na Karume ni matapeli

    Hao wapo nchi nzima na si matapeli wana usajili wao wako hapo kihalali kufanya mnada wao. Tz wanapenda vya bure kwa bei Chee! Sasa hao wanachofanya ni kuuza bidhaa za low quality kama Ni t-shirt Ni zile za kchovya vitenge unaambiwa ni wax lkn Ni teleza ya Kenya au laknan zawadi Ni wanazotoa...
  10. T

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Pole sana kwa wazazi na namuombea kijana apumzike kwa amani.
  11. T

    SoC01 Magonjwa ya akili yanatibika, vunja ukimya

    Asante kuna vitu nimejifunza, na mimi ni mgonjwa wa afya ya akili sasa Ni mwaka nne huu. Niishie hapa naishi na ukichaa hakuna aliewahi kunielewa.
  12. T

    Kama wewe shule ilikushinda waache wengine wasome

    Sipondei elimu lkn nadhani kuna mahali elimu ya tz ina tatizo. Namshukuru Mungu elimu inanisaidia.
  13. T

    Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    Sijawahi kupendwa na mwanaume zaidi baba yangu! Japo amekufa pengo lake ni kubwa mno. Rest easy my father. Na hongera kwa wababa wote wanaotimiza majukumu yao
  14. T

    TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

    Unapofiwa na mwenza, mzazi au mtoto maumivu yake machungu mnoo faraja kubwa inahitajika. Sasa wtz wengi wanajua kulia na sio kutoa faraja. Kapumzike kwa baba.
Back
Top Bottom