Search results

  1. capito

    Misamaha ya kodi kwa wabunge wanapoagiza magari, je ina umuhimu wa kuendelea kuwepo?

    Tatizo la ukusanyaji wa kodi katika nchi hii limekua changamoto kwa muda mrefu. Moja ya matatizo hayo ni misamaha ya kodi kwa makapuni makubwa mbayo inapelekea kuikosesha serikali mapato. Pamoja na makampuni makubwa, kuna haya wenzetu wabunge ambao nao wana misamaha lakini hawataki kuiongelea...
  2. capito

    Nafasi za mafunzo Ujerumani

    AFRIKA KOMMT 2013-2015 An Innitiative of German Industry for Future Leaders from Sub saharan Africa. For more information and application procedure please read the attached file.
  3. capito

    Wabunge waliopitia JKT kwa mujibu wa sheria ni wazalendo zaidi?

    Katika kipindi cha Baragumu (majadiliano) kinachorushwa na Channel 10 leo asubuhi kulikuwa na mjadala kuhusu suala la vijana wanaomaliza kidato cha sita kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Wengi waliochangia walisema JKT itasaidia kuongeza uzalendo kwa vijana. Kwa upande wangu nimekuwa na...
  4. capito

    Microfinance training opportunities

    Training Opportunities Jun 18 - Jun 29 Sustainable Microenterprise and Development Program (SMDP) Certificate Date: 18 June – 29 June 2012 Location: New Hampshire, USA Fee: $4,250 Application Deadline: 4 May 2012 (to be considered for scholarship) This two-week program emphasizes a...
  5. capito

    Tatizo la modem za vodacom kwa huku Mbeya

    Nimekuwa Mbeya kwa muda wa miezi miwili sasa. Modem za vodacom zinasumbua sana, connection ni tatizo na hata iki connect inakuwa slow sana mpaka inachosha. Tatizo jingine unaweza kununua vodabomba ya siku 30 lakini cha ajabu unakosa connection kabla ya hizo siku 30 kutimia. Nimejaribu kutembelea...
Back
Top Bottom