Search results

  1. Luoman

    Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

    Kwani huyu mwamba kasomea bongo???
  2. Luoman

    CCM waandike kupoteza Jimbo la Rorya

    Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa...
  3. Luoman

    Safari City Project Arusha: Wapi tumekosea kama nchi?

    We ulipanga ikimalike ndani ya miaka mingapi mkuu.
  4. Luoman

    Safari City Project Arusha: Wapi tumekosea kama nchi?

    Walishauanza kabisa ila badae mambo yakabadilika.
  5. Luoman

    Safari City Project Arusha: Wapi tumekosea kama nchi?

    Habari wana jamvi, Miaka ya 2015-2016 shirika la nyumba la taifa(NHC) lilikuja na plan ya kulifanya jiji la Arusha kuwa miongoni mwa majiji yenye mvuto Afrika. Wakaja na kitu kinaitwa safari city Arusha au Satellite City, ambapo wangejenga hotels, shopping malls, kumbi za mikutano, makazi bora...
  6. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Tezi dume? Me kwa uelewa wangu tezi dume uwapata watu wenye age kuanzia 45 sasa itakuwaje mimi ata sijafikisha 25 unipate?
  7. Luoman

    Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    This is ultra modern international airport in east and central Africa.. Julius nyerere international airport
  8. Luoman

    Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Halafu angalia hii picha kamili then ufanye comparison
  9. Luoman

    Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Ebu angalia hizi animation picture kwanza
  10. Luoman

    Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Kaka hapa ni wapi sasa??? Jitahidi kuwa mzalendo mimi ni chadema tena damu kabisa lakini ukifika wakati wa utaifa tusimame kama taifa sio ccm au chadema
  11. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Sijawahi kupata magonjwa ya zinaa,UTI au kichocho ila wakati unaanza nilikuwa naenda aja ndogo mara kwa mara lakini kwa sasa imepungua sana naweza nikakojoa mara moja au mara mbili kwa siku
  12. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Daah asante sana kwa ushauri mkuu ntaufanyia kazi muda sio mrefu
  13. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Sio bei ghali sana hicho kipimo??
  14. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Nishawahi kunywa maji mengi sana nilijiwekea ratiba lazima kwa siku nimalize 1 litre lakini baada ya kuacha tatizo likarudi kama kawaida
  15. Luoman

    Tatizo la mkojo kutoka kidogo au kuchelewa kutoka

    Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 ndio nipo kidato cha sita mwaka huu, lakini nimekuwa na tatizo la kutoka kwa mkojo mdogo sana au kutoka kwa shida na ata ukitoka bado nahisi kama kuna mkojo umebaki kwenye kibofu lakini nikijaribu kuutoa wote haiwezekani tena. Tatizo hilo limenitesa sio chini ya...
  16. Luoman

    Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Hatuna moja tu zipo zaid ya 20 tz nzima mpaka kufikia 2022 zitakuwa zimeisha zote halafu kwenye masoko tunayo mengi sana tena ni za hali ya juu kabisa hapa east africa hazipo labda mtatufananisha na south Africa or Egypt
  17. Luoman

    Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Daah Tanzania ni hatari sana
Back
Top Bottom