Search results

  1. MTUSUAJI

    KKKT Kijitonyama saa tumepona

    Nikiwa naota ghafla ndotoni nikaanza mshukuru sana mchungaji Muro kuja hapa usharikani maana kanisa lilikuwa linaenda kama halina mchungaji huku kondoo tukitaabika. Kuna kijana tapeli aliyekuwepo hapa kanisani ambaye alichukua hadi nafasi ya mchungaji wakati sio mchungaji, kijana huyu aliyekuwa...
  2. MTUSUAJI

    Tigo hapo mlimani city mnanuka RUSHWA

    Kama kunajambo wanajamii nimeshangaa ni jambo nililokutana nalo pale mlimani city kwenye ofisi za tigo cm yangu ilikua na shida iko in lakini nikipigiwa watu hawanipati baada yakujua hiyo shida lunch time nikajivuta pale ofisi za tigo nilipoingia tu pale mlangoni nikawakuta vijana wamesimama...
  3. MTUSUAJI

    msaada wataalamu wa computer

    Heri ya mwaka mpya, naomva mnisaidie nikiwasha laptop yangu nkaitumia bila kuunganisha internet haisumbui but nikiunganisha internet inakaa kama dakika mbili inaanza kutoa mwanga wa bluu kijani pinki na nyeupe.imeanza juzi msaada wataalamu
  4. MTUSUAJI

    Msaada: Kuanzisha kipindi binafsi cha TV katika Television za hapa Bongo

    Habari za majukumu wadau.nilikua naomba kujua endapo nataka kua na kipindi binafsi nitakachotengeneza mie na kwenda kukirusha kwenye tv zetu hizi naahitaji jufanyaje? Upatikanaji wa wadhamini ukoje? Nasshukuru nategemea kupata ufafanuzi kutoka kwenu.
Back
Top Bottom