KKKT Kijitonyama saa tumepona

MTUSUAJI

Senior Member
Nov 13, 2011
152
147
Nikiwa naota ghafla ndotoni nikaanza mshukuru sana mchungaji Muro kuja hapa usharikani maana kanisa lilikuwa linaenda kama halina mchungaji huku kondoo tukitaabika.

Kuna kijana tapeli aliyekuwepo hapa kanisani ambaye alichukua hadi nafasi ya mchungaji wakati sio mchungaji, kijana huyu aliyekuwa anatapeli hela za watu akiwaombea lazima awalazimishe wampe hela, huku akitembea na wake za watu na wenye wake zao .

Walishitaki na akasimamishwa kuhudumu hapa Kijitonyama kwa miezi miwili tu kisha akarudishwa pamoja na ushahidi uliotolewa na walioshitaki kuliwa wakezao, matokeo yake wakagombezwa na uongozi wa kanisa kwa kumsema vibaya huyu tapeli.

Kijana huyu mimi aliniombea nilipokua na matatizo kazini na baada ya kumwambia mambo yametulia alinidai milioni mbili ila mchaga mie sikutoa hata dala nilipeleka shukrani kanisani.

Historia yake
Alianza kuhubiri kanisa la Mtume nyaga akafukuzwa baada yakupiga hela ndefu kutoka kwa waumini.

Akaenda kimara kwa mastahi akawa anahubiri pale akafukuzwa baada ya mchungaji kupewa habari anawakwangua mshiko waumini.

Akaja kijitonyama ila kipindi akiwa mbowe alimbana sana ila alipoondoka mbowe ndo akajitawala kwa kutengeneza urafiki na mchungaji kijana.

Ujio wa Muro umetusaidia maana amembana mpaka kaondoka mwenyewe though katupiga vya kutosha.

Kijana ni mwanafunzi wa chuo anamagari mawili na anamalizia gorofa lake kigamboni huyu kijana ni jipu ndani ya kkkt tunaomba malasusa umfatilie kwa karibu sana.

Sasa tunaamani maana wengine tulihamia sharika zingine maana hatukua na msaada baada ya wazee wakanisa kushindwa kutusaidia ila Muro umetuokoa.

Kijana huyu mwenye jina kama la yule mbatizaji alie mbatiza Yesu pale jordan.
Asante Muro sasa tuko salama.

Kumbe ni ndoto nilikua ninaota ngoja niamke nikalijenge taifa.
 
Nikiwa naota ghafla ndotoni nikaanza mshukuru sana mchungaji Muro kuja hapa usharikani maana kanisa lilikua linaenda kama halina mchungaji huku kondoo tukitaabika
Kunakijana tapeli aliekuwepo hapa kanisani ambae alichukua hadi nafasi ya mchungaji wakati sio mchungaji, kijana huyu aliekua anatapeli hela za watu akiwaombea lazima awalazimishe wampe hela, huku akitembea na wake za watu na wenye wake zao walishitaki na akasimamishwa kuhudumu hapa kijitonyama kwa miezi miwili tu kisha akarudishwa pamoja na ushahidi uliotolewa na walioshitaki kuliwa wakezao, matokeo yake wakagombezwa na uongozi wa kanisa kwa kumsema vibaya huyu tapeli
Kijana huyu mimi aliniombea nilipokua na matatizo kazini na baada ya kumwambia mambo yametulia alinidai milioni mbili ila mchaga mie sikutoa hata dala nilipeleka shukrani kanisani

Historia yake
Alianza kuhubiri kanisa la Mtume nyaga akafukuzwa baada yakupiga hela ndefu kutoka kwa waumini.
Akaenda kimara kwa mastahi akawa anahubiri pale akafukuzwa baada ya mchungaji kupewa habari anawakwangua mshiko waumini,
Akaja kijitonyama ila kipindi akiwa mbowe alimbana sana ila alipoondoka mbowe ndo akajitawala kwa kutengeneza urafiki na mchungaji kijana
Ujio wa Muro umetusaidia maana amembana mpaka kaondoka mwenyewe though katupiga vya kutosha
Kijana ni mwanafunzi wa chuo anamagari mawili na anamalizia gorofa lake kigamboni huyu kijana ni jipu ndani ya kkkt tunaomba malasusa umfatilie kwa karibu sana.
Sasa tunaamani maana wengine tulihamia sharika zingine maana hatukua na msaada baada ya wazee wakanisa kushindwa kutusaidia ila Muro umetuokoa
Kijana huyu mwenye jina kama la yule mbatizaji alie mbatiza Yesu pale jordan.
Asante Muro sasa tuko salama.
Kumbe ni ndoto nilikua ninaota ngoja niamke nikalijenge taifa

mhh! kwa mara ya kwanza leo nimepotea njia, sijaelewa kitu hapa!
 
Vipi mmeshamaliza kujenga ile shule. Yaani hapo KKKT Kijitonyama ni sehemu ya watu wachache kupiga ela aisee, watu mlichangia kujenga kitega uchumi badala ya hicho kitega uchumi kujenga vitega uchumi vingine lakini bila aibu jengo linamalizika tu mnaanza kuwachangisha waumini eti wajenge shule. Watu hawana huruma aisee
 
Kweli Ulutheri unaanza kupoteza quality yake siku hadi siku kuanzia washarika wake mpaka viongozi wake...Eeeh Mungu tusaidie.
 
Siku hizi KKKT inapokea vijana sijui waliokua wakihubiri kanisa la mtume na kuwafanya wachungaji ??? Bila kupitia utaratibu waliojiwekea ????
 
Back
Top Bottom