Search results

  1. A

    Naomba kujuzwa taratibu za kuoa Kibosho

    Hapafai huko mkuu
  2. A

    Naomba kujuzwa taratibu za kuoa Kibosho

    Hii thread kwangu ni bora zaidi.
  3. A

    Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

    Mimi ni Yanga ila Okwi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kucheza soka la Tanzania. Yaw Berkooo, mpaka sasa sijaona kipa mzuri Yanga kama Yaw Berko ktk kipindi chake. Huyu Mghana alikuwa anajua kuzilinda nyavu.
  4. A

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Yamkini ila mkuu ukifanya biashara na mzungu utafurahi.
  5. A

    Ushauri kwa vijana

    Asante mkuu
  6. A

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Ngozi nyeusi akishafanikiwa ktk nyanja fulani basi yule asiyefanikiwa anamuona kama mpumbavu vile.
  7. A

    MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    Nafikiria kuzama huko next month. Ni bei gani ulichukua?
  8. A

    Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    Pole mkuu, tatizo lake ni hilo? Ongera, mvumilie na usiache kumrekebisha hata ikachukua miaka 10 atakuja kubadilika tu. Kama hagongwi nje, analea watoto na anatimiza majukumu kama mama, mpende na kumvimilia. Usijaribu kumuacha kwa changamoto hiyo.
  9. A

    Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    Sio aliyemsajili?
  10. A

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Lomalisa anaenda Prisons pia.
  11. A

    Kitenge: Ni ngumu Simba kupata point kwenye mechi zilizobakia

    Simba ana fixtures za hatari halafu timu imechoka.
  12. A

    Shinyanga: Wizi wa Misalaba makaburini washitua

    Usukumani hakuishiwi mambo.
  13. A

    KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    1. Inabidi ifahamike kuwa, round ya kwanza kwa mwanaume huwa inawahi sana, this is nature, so it is normal unless mwanaume awe na shida ktk uume wake kwa kuukomaza na masturbation, hapo anaweza chelewa sababu ule mshipa umeshaharibika kwa masturbation. 2. Mwanaume pia anaweza akawahi kumaliza...
  14. A

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Mhasibu wa Mwijaku.
  15. A

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    DSTV hawawezi kurusha game ya Simba na Yanga.
  16. A

    Tambua udongo uliopo hapa duniani

    Uzi mgumu sana, nmebaki kuscrow tu ili nipate moja au nipate mawili ya kuweka kwenye ubongo.
  17. A

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Huyu mwamba akiwepo leo, Simba hatopigwa chini ya 3.
Back
Top Bottom