ni kitendo cha kutumia kazi ya mtu mwingine au andiko/chapisho la mtu mwingine bila ruhusa yake au hata kutaja kwamba nimetoa andiko hili sehemu fulani..
au nakosea ndugu yangu Maxence Melo ?
Pole sana kwa maswahibu mdogo wangu.
Hongera yako angalau wewe una kitu sema ni changamoto tu za dunia zinakusibu, pambana nazo.
Nakushauri usiweke hela zote katika biashara moja..
Uza hivyo vitu vyako ila usije ukajiingiza kwenye makundi yasiyo na maana
Machawa wengi wamepitia mazito sana huwezi amini..
angalia mkuu wa mkoa wa Arusha, alifikia hatua hadi ya kumlamba miguu Riz One kipindi awamu ya 4..
Wengine hadi wanafumuliwa marinda..
Muulize Pdidy kule mambele alichowafanya kina MeekMil just to gain fame..
Free is Expensive in some ways
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.