Search results

  1. Ngoke

    Kumbe Chakula cha mwisho ni kitamu

    Mke wangu amesafiri kwenda mbali mkoani, nipo na watoto peke yangu, sisi familia yetu hatuna wasaidizi na kwa kuwa maisha tulishaandaa yaaani tulishawekeza mila mwezi pesa inaingia ya matumizi Nikawa napikia watoto mwenyewe na upishi wa jana ijumaa, yaani akaja shemeji akanisaidia kupika mchana...
  2. Ngoke

    Stand ya Bus Mbezi badala ya kuitwa jina Magufuli lipewe jina lingine

    Inaweza kuitwa hata mheshimiwa Dr Samia Suluhu Au ikapewa jina la kiongozi yoyote Kwani nimewahi kushuhudia mabadiliko ya majina kwenye maeneo tofauti. Itapendeza zaidi
  3. Ngoke

    Hebu wataje majambazi sugu/ wezi unaowakumbuka waliowahi kusumbua

    Nakumbumbuka baadhi ya majambazi waliotokea kusumbua jamii. 1. Enzi izo ni wilaya ya Tarime, Mathumo, huyu alikuwa mwizi wa ngombe Alikuwa na uwezo wa kuiba ngombe kisha kuogelea nao akivuka nao ziwa Victoria akitokea ngambo ya 1 hadi ya pili upande wa kinesi hadi Sonjo ilikuwa akizingirwa kosa...
  4. Ngoke

    Siku 33 za kufunga na kuiombea Ukraine

    Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo. Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023. Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa...
  5. Ngoke

    Najaribu kuwania Shilingi Bilioni 1.1 SportPesa wiki hii

    Hapa nmejiona mwenye ndoto kubwa kwa kushiriki kinyangario cha kiwango hichi cha pesa nyingi kwenye Jackoprt. Kuanzia mwaka 2020 nimekuwa nashiriki kila wiki japo nimewahi kushinda mechi 10 tu na kuambulia bonus ya elfu 50 na mimi nishatumia pesa nyingi lakini sioni hasara maana ni pesa natoa...
  6. Ngoke

    Bilioni 7.4 za Laizer: Ingekuwa wewe ndio umezipata ungefanyia nini?

    Je, ungepata pesa kama hizi za Laizer ungezifanyia nini?
Back
Top Bottom