Search results

  1. Mzeee Suleiman

    Zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo Afghanistan

    Dah! Nawaza tu kuhusu bongo maana hali ya usalama wetu ni tulivu saana sijui siku hiyo nani atashinda.
  2. Mzeee Suleiman

    Kashfa nchini Kenya: Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Seneti kuhusu Covid-19 ajiuzulu

    Pole sana ila ukweli mnaujua wakenya kuwa corona ni siasa tu nchini kwenu
  3. Mzeee Suleiman

    Musoma: Shule yanusurika kufungwa kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kishirikina

    Dawa ya Moto ni Moto. Kwenye uchawi peleka waganga Moto uwake hapo hali iwe shwari,Mila juu ya Mila
  4. Mzeee Suleiman

    Polisi akamatwa na kuwekwa karantini baada ya kumbaka mgonjwa wa Corona

    Acha siasa iitwe siasa aisee! Kashatolewa mtu kafara hapo ila hakuna kubaka Wala nini ila wamekubaliana wakapigana miti ukizingatia corona yenyewe ni promo ya mabeberu
  5. Mzeee Suleiman

    Uchaguzi 2020 Hashim Rungwe Spunda atia nia ya kugombea Urais, asema Sera yake ya kuimarisha lishe bora kwa Watanzania ipo pale pale

    Wengi tunajua CHUMA anapita hivyo wengi tutampa sounda😁😁😁😁 mala paap! Huyooo Kaibuka kimasihara tu,kura yangu unayo mzee
  6. Mzeee Suleiman

    Je, kuna madhara kwa feni ya rejeta kuwaka moja kwa moja?

    Jamani kuna fundi mzuri wa wire na cooling system,namtafuta aliye kibaha pwani
  7. Mzeee Suleiman

    Kuna umuhimu mkubwa sana kufanya check up ya mifumo ya umeme na electronics kwenye gari yako

    Mkuu gari yangu ni cheser gx100, dashboard haisomi hivyo gia haziingii ipasavyo naomba mawasiliano yako nipo pwani kibaha,pia nahitaji unikagulie gari langu
  8. Mzeee Suleiman

    Athari za CoronaVirus: Wafanyakazi wa Kenya Airways kuendelea na likizo isiyo na malipo

    Tungeendelea kuogopeshana na huku kwetu nahisi ndo tungekuwa na Visa vingi zaidi ya Kenya na Africa nzima, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI CHUMA
  9. Mzeee Suleiman

    Trump aahirisha mkutano baada ya ukosoaji

    Siasa za marekani sio za bongo ila mh! Mbona Kama mwaka wake hivi😄 atatoboza kweli?
  10. Mzeee Suleiman

    Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Kangi yukowapi Kama mnatenda haki? Achaneni na wapiga kura wetu wampitishe chuma October banaaaaaaa😁😁😁😁😁
  11. Mzeee Suleiman

    Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Kama wmekiuka maadili Wa kuwashitaki ni waajiri wao na sio takukuru,swali muajiri amelalamika kuwa mtumishi wake hajafika kibaruwani? Kwa miaka mi5 hiyo ameshitakiwa malangapi kwa kosa la kutohudhuria kazi zake kwa wakati? Kama hakuna basi Kuna kutafuta Kiki,kuonea wanyonge ama kutengeneza...
  12. Mzeee Suleiman

    Boris Johnson: Waandamanaji wa Ubaguzi wa Rangi wamekuwa ni wafanya fujo

    Huko kwa mabepari corona imeisha pia eti?
  13. Mzeee Suleiman

    Je, unazijua Sifa za mgombea wa Ubunge?

    Askari anaruhusiwa kugombea?😁😎tufafanulie vyemaa
  14. Mzeee Suleiman

    Je, unazijua Sifa za mgombea wa Ubunge?

    Askari anaruhusiwa kugombea?😁😎
  15. Mzeee Suleiman

    Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mh watumbuliwe? Kila mmoja anaangalia maslahi yake wote wamejawa na tamaa ya madaraka wanahisi kuwa wapole kutawapelekea kuwa wateule,hilo limepita bila kupingwa labda kwa nguvu ya umaa ndo njia pekee japo kichapo kitatembeaaa
Back
Top Bottom