Search results

  1. kovidii

    Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

    Hapo kwenye kuhifadh mwili sidhan km watamtoza
  2. kovidii

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Katukana nn?mbna uzi hauna nyama huu? yaani unaeleza as if wote tumemsikia...
  3. kovidii

    Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

    Hakuna neno kufudhu kwenye kiswahili,pia hakuna cheo cha luteni ktk jeshi la polis.kajipange upost upya
  4. kovidii

    Niijuavyo Freemasonry

    Eti ni shughuli za kimaisha,kwahyo wahadzabe unawazungumziaje?
  5. kovidii

    Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

    Malengo yapi unazungumzia? milioni per day unakula kande unasingizia malengo!!?
  6. kovidii

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Acha unafique....fikiria kuhus mamake Eric kabendera,fikiria binti wa mawazo, fikiria mke wa azory gwanda,ndo uje ukomement upya hapa
  7. kovidii

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Kama kichwa cha habari kinanyosema; nisiwachoshe wafiwa,mh Rais ndo kama tulivyosikia; na kwa mujibu ya katiba yetu mama Samia ndo atakua Rais wetu kwa muda uliobaki hadi 2025. Sasa swali linakuja, atakua rais wa awamu ya sita....au ya tano inaendelea!?
  8. kovidii

    Kwenye hili mnasemaje wadau?

    Jiji lipi hilo mkuu?
  9. kovidii

    Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Mwenye discount ndio mwenye china plaza, anahamaje Sasa!?
  10. kovidii

    Ni wakati sasa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro

    Mapenzi na wachaga wapi na wapi?
  11. kovidii

    CV Ya Askofu Mkuu Novatus Rugambwa( Apostolic Nuncio Of New Zealand), Balozi Wa Papa New Zealand.

    Hyo cm yenyewe uloshika ni ya hao hao wazungu.lala ukue sheikh!
Back
Top Bottom