Search results

  1. A

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Huyu Muiran yupo kariakoo sehemu gani?
  2. A

    Msaada kwenye kisimbuzi cha DigiteK

    Mafundi/Supplier wa Decoder ya Digitek wamepotelea wapi, mimi nahitaji ku-update software ya hiki kisimbuzi maana kimebaki na local channel 5 tu.
  3. A

    Naomba kujuzwa kampuni zinazofanya ujenzi wa Miradi Kimkakati nchini

    Wakuu msaada tafadhali! Ni kampuni zipi za upimaji [lLand Survey] zinazoshiriki katika ujenzi wa miradi ya kimkakati hapa nchini Tanzania? Hasahasa wanaofanya engeneering survey. Nahitaji kuomba nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo [Field] itakayoanza mwanzoni mwa mwezi huu wa tisa, na pia...
  4. A

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Taarifa hizo ndizo nilizojaza lakini bado naambiwa apn is not correct
  5. A

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Msaada kwa wanaotumia TTCL simcard na universal modem kwaajili ya internate, naomba mifahamishe setting zake ili kuunganishwa kwenye mtandao Natumia TTCL simcard na airtelmodem ambayo nimeibadilisha kuwa universal with my lenovo desktop window 8.1 pro
  6. A

    Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Tusaidieni link ya huki telegram wakuu.
  7. A

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Nimeielewa kama njia nyingine ya kipekee zaidi ktk kuelekea kuahamu mambo yaliyojificha zaidi katika hii dunia
  8. A

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    How to open the third eye?
  9. A

    Kum-track mtu kupitia namba yake ya simu

    Mkuu ya kweli haya hata kama simu yangu ilikuwa ni kitochi., Je wanaweza kufahamu mahali line ilipo na wakati nikiipigia haipatikani...?
  10. A

    Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    INFINIX HOT 8 LITE KILA NJIA NINAYOTUMIA IMESHINDIKANA
  11. A

    Kijana wa kiume kukaa nyumbani bila kazi ni tatizo

    Korona imetupa kama kalikizo flani hivi., Acha tukeshe humu Jf korona ikiisha tutarudi mtaani kuendelea kuhangaika na maisha, maana hata mzee mwenyewe anaogopa kumpoteza mwanae hakuruhusu utoke nje kizembe, Serekali nayo.....< Epuka safari na mikusanyiko isiyo ya lazma>...
  12. A

    Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

    Acha ujinga wewe, unataka mpaka ufe wewe ukazikwe huko bhr beach ndo, utaamini.!?
Back
Top Bottom