Search results

  1. Village fooler

    Naomba muongozo katika hili

    Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
  2. Village fooler

    Embu Leo tutoe appreciation kwa wale watu waliotusaidia kwa wakati fulani mikiwa hamfafahamiani

    Ndugu zangu natumaini hamjambo na wote mko tayari kwa ajili ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka 2021.. Embu leo tujaribu kutoa appreciation kwa wale watu waliotusaidia tukiwa tumekwama au tukiwa katika shida fulani na hamfahamiani na baada ya hapo hamkuwahi kuonana nao Tena; Mimi kisa...
  3. Village fooler

    Tuliopitia maisha ya shida baada ya kufiwa mama zetu tukutane hapa

    Habari za weekend ndugu zangu poleni na mihangaiko pamoja na hii changamoto ya covid- 19 kama title inavosema Mimi Ni mhanga wa kufiwa na Mama yangu mzazi nikiwa katika umri wa miaka 11 tu nikiwa darasa la tano. Kwakweli kati ya vitu vinavyoumiza na bado vinazidi kuniumiza mpaka Leo Ni kitendo...
Back
Top Bottom