1. Kwanza awezeshe kuwa na uhuru wa Vyombo vya Habari.
2. Demokrasia ni jambo muhimu awape wapinzani uhuru wa kuikosoa serikali kwa kuwa hakuna aliyekamilika duniani kila mtu hutenda makosa na kukosolewa ndo njia pekee ya kujifunza ulipokosea na ukajirekebisha na mambo yakaendelea kama ilivyo...
Hapo hakuna suluhisho me naona tatizo lipo palepale tutazidi kupokea wahamiaji haramu kwa kwenda mbele kwa kuwa utendaji mbovu wa kuitana kindugu pamoja na rushwa ya kuwaita wasio na sifa na kuwaacha wenye sifa katika ule usaili wa mkaguzi msaidizi bado undugu pamoja na rushwa zilifanyika hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.