VSO International wamenipa pa kuanzia

yungsteval

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
309
108
Habari JF leo nimepigiwa simu ya kuitwa kazini kupitia mradi wa ICS VOLUNTEERING PROGRAM utakaodumu miezi mitatu.

Asanteni wale mlionipa highlights za interview za hawa VSO na kupata nafasi japo ya kuvolunteer si haba kuliko kuendelea kukaa nyumbani kusubiri ajira ambazo hazipatikani kirahisi.

Ila naamini hii ndo itakuwa starting point ya career yangu, ngoja nikajitume may be hii volunteer ikazaa matunda huko.

Thanks God naamni nitafika tu siku moja
 
Safi sana sana VSO Wako vizuri na hio itakupa credit kubwa sana mbeleni
 
Kama kuna jamb la msingi ambalo wat wengi husahau ni Kushukuru yan ukisema asante Mungu kwa jamb hili mkono wake unakuwa nawe . Mfano ni mim ndug nlipat kaz ya kwanz kam Numerator kweny baselin survey 1 ya wiki 1 yan hapo ndo nkasema bye bye home . mana yan mpak leo nikitoka huku napata huku coz nlishukuru nkamwambia Mungu kwakuwa ni wewe umenipa hii kaz ya wik 1 basi najua utanipa kaz permanent nkaambatanisha na SADAK nzuri jasho la kazi ile mpak leo nkitak kitu Naomba KWa Mungu silalamiki kwa watu bt naweka na SADAKA Mungu hachelewi
 
imekula kwako....kwa wiki elfu 35 na unakaa hosthouse...alafu miezi yako mitatu ikisha na ww habari yako imeisha amna ndoto za ajira pale....wanatoa chance mara moj kwa kila m2
 
imekula kwako....kwa
wiki elfu 35 na unakaa hosthouse...alafu miezi yako mitatu ikisha na ww
habari yako imeisha amna ndoto za ajira pale....wanatoa chance mara moj
kwa kila m2

yote maisha......na nikiweka kwenye cv yangu as exprnc napo imekula kwangu???.....
 
kuna watu majembe wana experiance za kutosha za intership na volunteer ,,kazi yao ni kuongea na watu wanaofahmu katika ofisi mbalimbali ili akipgwa simu aseme kweli ameshafanya apo internship....lakini bado kazi ata kuitwa kwenye interviews kwa manati
 
kuna watu majembe wana experiance za kutosha za intership na volunteer ,,kazi yao ni kuongea na watu wanaofahmu katika ofisi mbalimbali ili akipgwa simu aseme kweli ameshafanya apo internship....lakini bado kazi ata kuitwa kwenye interviews kwa manati

Mbona unakatisha tamaa hivyo??
 
anywy fanya yako nami nifanye yangu........gudluck kwa kazi nzuri na mshahara mzuri ulionao.........yote anapanga mungu...... frank
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom