Search results

  1. Jskinondo

    Baada ya kumaliza Chuo nimeamua haya. Naombeni Ushauri

    Dogo bado haujajua life la mtaani vizuri, sio kosa lako sababu umemaliza chuo mwaka huu. kama maisha ya nyumbani ambapo unalala na kula bure yanakushinda kisa unatumwa tumwa ya huko unako kwenda utayaweza¿ Bad enough unasema unaenda kwa rafiki yako na haujapata connection ya kazi huoni unaenda...
  2. Jskinondo

    Je, Ngono inaweza kuwa sababu ya kutofanikiwa?

    Ngono ni sehemu ya starehe, na starehe gharama. Ngono uzembe na kuwa na mademu wengi ndo inarudisha nyuma maendeleo.
  3. Jskinondo

    TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Rest in peace Ramaa, we are on the way.
  4. Jskinondo

    Kila mwenye shahada asiye na ajira aendelee kulipwa pesa ya kujikimu(boom) Tsh. 5,000 akiwa anasaka ajira

    Be creative una degree afu unamuomba mzazi ela ya matumizi!, kwanini usiuze hata mihogo ya kukaanga. Tatizo vijana mkimalizaga chuo mnashindwa kujiongeza mnawaza kuajiriwa tu.
  5. Jskinondo

    Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

    piga hiyo namba ya simu for more info...
  6. Jskinondo

    Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

    Darali ni mtu anaye kaa kati ya mnunuzi na muuzaji kwa lengo la kupata maslahi. Sio mbaya akipata maslahi shidah wengi hawana ela wanategemea kuja kuona mzigo ndo watumiwe ela na maboss wao kitu ambo ni kigum. Ni vema kama wanataka kuwa second boss wapewe ela kabisa sababu ukishafika shamba...
  7. Jskinondo

    Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

    Habari za leo, natumaini nyote mpo vizuri. Kama kichwa kinavyo someka, lengo kuu la kutaka tukutane hapa ni kuwaambia wadau wanaoitaji kununua iliki kuwa mzigo upo wa kutosha. Hiliki inapatikana kwa jumla na rejareja, bei ya reja reja ni 25000 kwa kilo na bei ya jumla ni 22500 kwa kilo. Kwa...
  8. Jskinondo

    Fahamu jinsi ya kuondoa 'bablishi' kwenye nguo (how to remove bubble gum on clothes)

    Ahsante kwa kuuliza swali ambalo jibu lake unalijua. You deserve a bottle of juice. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jskinondo

    Fahamu jinsi ya kuondoa 'bablishi' kwenye nguo (how to remove bubble gum on clothes)

    Habari za leo, Ni matumaini yangu kuwa haujambo na una afya njema. Kama huna tatizo lolote upo physically and mentally fit huna budi kumshukuru Mungu. Kama nilivo tangulia kusema kwenye kichwa. Lengo la kuandika huu uzi sio kwamba JF members wote hatufaham jinsi ya kutoa bablishi kwenye nguo...
  10. Jskinondo

    Kijana wangu anataka kusomea Udaktari

    Uzi wako haujakaa sawa, udaktari gani anataka kusomea wa binadamu au mifugo? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Jskinondo

    Mwenye gari namba T 696 BUC anitafute haraka

    Wasio julikana wameacha gari yao hapo, endelea kuifuatilia wema wako usije ukakuponza. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Jskinondo

    Naomba ufafanuzi juu ya sanitizer na hand wash

    Sawa mkuu,hata sabuni ya kipande na ya unga zinafaa kutumika au vip Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Jskinondo

    Naomba ufafanuzi juu ya sanitizer na hand wash

    Ahsante kiongozi, vip kuhusu sabuni naweza kutumia sabuni yoyote haina shidah? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jskinondo

    Naomba ufafanuzi juu ya sanitizer na hand wash

    Sawa mkuu, bahati nzuri mimi sina chama. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Jskinondo

    Naomba ufafanuzi juu ya sanitizer na hand wash

    Kama kichwa kinavyo ongea, kutokana na janga la Corona virus pandemic, watu wana shauriwa kunawamikono kwa maji tiririka na sabuni. Lakini siku hizi wengine wanaona kunawa maji kila wakati ni usumbufu kwahiyo hutumia sanitizer kama mbadala wa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni. Njia...
  16. Jskinondo

    Watalaamu wafafanua njia bora za kujifukiza

    Hii imekaa sawa, pia tupeane mrejesho kwa wale ambao walisha anza kutumia hii mbinu wiki mbili zilizo pita. Pia ingekuwa vizuri mbinu ya kujifukiza ikafanyiwa majario kwa wagonjwa wa Corona ili kupata matokeo yake badala ya kutumiwa kwa kiasi kikubwa na watu ambao bado hawajadhibitika kuwa na...
  17. Jskinondo

    Philipo Nyandindi (O. Ten) ajiingiza katika Kilimo cha Matunda

    Kama ulikuwa hajui wana maanisha nini wanapo sema "Life has no formula " ndo ujue sasa kupitia huyo msanii. Ukisha jua siku ukimuona boss kawa machinga hutoshangaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Jskinondo

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Bado itakuwa ngum kiongo,sababu utajitahidi kuchukua tahadhali,lakini kama jirani yako au watu wako wakaribu ambao unajamiana nao kila siku tahadhali yao kubwa wanayo chukua ni kunawa mikono kwa maji na sabuni na wanasafiri kama kawaida bado ngoma nzito. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Jskinondo

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Ni balaa zito, bora ukose pesa uwe na elimu kuliko..... Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Jskinondo

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Hadi kufikia leo zimepita siku kadhaa wizara ya afya ipo kimya, tangu ilipo tangaza idadi ya wagonjwa wa covid 19 kuongezeka hadi 299 na vifo 10 nchini Tanzania. mbaya zaidi ndani ya kipindi hicho cha ukimya tanzia zinaongezeka zikiwemo za viongozi. Hii inaleta mstuko mkubwa sababu huku kwetu...
Back
Top Bottom