Search results

  1. Mzeeba

    Ukabila kuchelewesha mabadiliko SUA

    Tetesi is one thing. Naamini Balozi Yuko fresh na anajua Kazi yake hawezi anguka kwenye ukanda. I stand to be corrected
  2. Mzeeba

    Auric Air yashusha tena nauli za ndege kwa safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro

    Inakuwa ghali pale tu unapoondoa gharama za muda wako. Yaani masaa manne ya kukaa barabarani. kama unakwenda na kurudi that about 8 hrs na hapo ukute pwani inapitika. Ni mwanzo mzuri
  3. Mzeeba

    Tanzania Economic Update: February 2012

    Thank you very much. This just arrived on time for my preparation for Economic development class
  4. Mzeeba

    Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

    Sasa Mbona zinabaki kata 13? kama hakuna chama cha upinzani kingine huko Halmashauri Itakuwa chini ya CCM ukijumlisha na mbunge ni kura 14 katika baraza
  5. Mzeeba

    Elections 2010 Tbc wameanza kutangaza matokeo

    hata kwenye website ya Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) wemeweka matokeo ya ARUSHA Kiti cha urais CCM = 15000 (20.24%) CHADEMA = 35000 (47.23%) CUF = 1000 (1.35%) NCCR = 20000 (26.99%) TLP = 3000 (4.05) ZILIZOHARIBIKA = 100 (0.13%) Haya matokeo hayajakaa sawa kwani namba ziko kama za...
  6. Mzeeba

    Elections 2010 Matokeo ya awali kutoka Kilimanjaro

    Moshi Mjini (kata ya Rau) Kituo Rau Zahanati Dr 375 JK 198 Kituo Rau Shule Dr 90 JK 30 Ubunge usiulize Chadema wame retain. and this time Manispaa ya Moshi ni CHADEMA
  7. Mzeeba

    Elections 2010 Slaa aelekea Mbeya

    :A S angry:ACHA KUDANGANYA WATU. KARATASI ZA KUPIGIA KURA MWAKA HUU ALAMA YA VEMA INAWEKWA PEMBENI NA SIO CHINI. :A S angry:
  8. Mzeeba

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Naomba angalia kwa makini mambo yafuatayo 1. Je idadi ya watu waliohojiwa ni wangapi? Angalia hapa Wilaya (52), na wahojiwa 50 = 2600 2. Je katika kila kijiji/mtaa walihojiwa watu wangapi? maana vimechaguliwa vijiji/mitaa 2 katika kila wilaya 3. Wanaume 25 na wanawake 25...
  9. Mzeeba

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Naomba angalia kwa makini mambo yafuatayo 1. Je idadi ya watu waliohojiwa ni wangapi? Angalia hapa Wilaya (52), na wahojiwa 50 = 2600 2. Je katika kila kijiji/mtaa walihojiwa watu wangapi? maana vimechaguliwa vijiji/mitaa 2 katika kila wilaya 3. Wanaume 25 na wanawake 25...
  10. Mzeeba

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Unataka kusema kina Makamba. mzee karume. mzee mwinyi, Balali na wengine woooooooooote hawajafunga? Hapa inabidi watu tuelezwe nini tatizo na Raisi wetu? Maana kuona Raisi anadondoka mpaka anashindwa malizia hotuba yake, ni hatari kwa nchi hii. Bila kuangalia siasa wala nini. Ukizungumzia...
  11. Mzeeba

    Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

    Maelezo ya kina nimekuwa shirika la habari ndugu? for ARC hotel visit this web page http://archotel-tz.com/ na utaweza ongea nao moja kwa moja kwa Dragoner sina contact details zao
  12. Mzeeba

    Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

    Maelezo ya kina nimekuwa shirika la habari ndugu? for ARC hotel visit this web page http://archotel-tz.com/ na utaweza ongea nao moja kwa moja kwa Dragoner sina contact details zako
  13. Mzeeba

    Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

    ukimaanisha nini? sidhani kama tanzania tumeshaanza kutumia star ratings, ila unaweza sema ziko 3 stars
  14. Mzeeba

    Hotel nzuri morogoro kwa mapumziko

    Kwa vile umetaja hotel basi sidhani kama unataka kujua kuhusu guest house ambazo ziko nyingi zenye hali nzuri sana na ukiacha bei kuwa poa nazo huduma kama most hotels. kujibu ombi lako jaribu hotal hizi Morogoro hotel. sasa imekarabatiwa na iko juu. mandhari mazuri sana Hilux hotel, hii...
  15. Mzeeba

    Kiongozi Msafara wa Tanzania IWC akataa "massages" kuipigia kura Japan

    IWC meeting abuzz over Japan vote-buying accusations Wednesday 23rd June, 07:58 AM JST AGADIR, Morocco — Accusations that Japan uses aid money and personal favors to buy votes have quietly circulated for years around the International Whaling Commission, which oversees the conservation of...
  16. Mzeeba

    Liyumba Kuachiwa Huru Leo?

    Na wasiwasi sana na kama unaushahidi wa kuonyesha waendesha mashtaka wa serikali "ni wachovu kitaaluma". Kushinda au kushindwa kesi inategemea mambo mengi. lakini kwenye high profile kesi unazo sema tatizo ni system mbovu. Bila kujenga system through strong institutions sahau. Kubwa kabla ya...
  17. Mzeeba

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    If we wait until we do all the mistakes so that we can learn from them, we will take eternity. Learning from our mistakes and mostly from others mistakes would be more prudent
  18. Mzeeba

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Uchaguzi huu ukitumika vizuri utatoa nafasi kubwa kwa CHADEMA kujitangaza zaidi kwa vile vyombo karibia vyote vya habari vitafuatilia kwa ukaribu. Ikiwezekana hotuba na uchaguzi wa viongozi wa kitaifa uonyeshwe moja kwa moja kupitia TBC na stesheni nyinginezo. Hii itaonyesha demokrasia...
  19. Mzeeba

    Waganda ni noma...!

    Alcoholism ni ugonjwa. Walevi wengi wanahitaji msaada ili waweze kuachana na tabia ya ulevi. Kutoa adhabu iwe ya viboko au ingine sio suluhisho la ulevi. Kwanza kwa machungu ya kuchapwa anaweza enda utwika zaidi. La muhimu hapa ni kuangalia kiini cha mhusika kuwa mlevi nakujaribu kutatua tatizo...
  20. Mzeeba

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    Pale Jenerali anapoamua kuwauzia silaha za kumwangamamiza adui askari wake inabidi mtu ushushe pumzi.
Back
Top Bottom