Search results

  1. T

    Nahitaji ushauri kuhusu Kozi nzuri ya kusoma

    Nimefaulu Chemistry, Biology na Geography form 4. Je, ni kozi gani nzuri naweza nikapata chuo. Note: Hesabu nimefeli
  2. T

    Je muda sahihi wa kutumia pantoprazole 40mg tabs ni upi?

    Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula asubuhi..naombeni munisaidie maoni yenu yanamsaada mkubwa kwangu na kwa wengine
  3. T

    Je, muda sahihi wa kula Pantoprazole 40mg tab ni upi?

    Kwanza poleni na majukumu nimgependa kujua muda bora wa kutumia pantoprazol 40mg tab kwa ajili ya kuifanya ifanye kazi vizuri.Je ni bora kula nusu saa kabla ya kula usiku au nusu saa kabla ya kula asubuhi. Naombeni munisaidie maoni yenu yanamsaada mkubwa kwangu na kwa wengine
  4. T

    Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Naombeni ushauri wenu nimefaulu vizuri PCM je, munanishauri nisomee nini? Na vipi kwenye ajira
  5. T

    Naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya Diploma

    Kama nilivyotanguliza hapo juu naomba kujua mshahara wa daktari kwa ngazi ya diploma Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    Hatari ya gesi

    Kama unatumia gesi tafadhali soma ujumbe huu muhimu. Wanandoa walirudi nyumbani usiku baada kutoka matembezi, walipofika nyumbani na kufungua mlango mwana mama alihisi harufu ya gesi na kumwambia mume wake. Mume alienda mpaka jikoni na kugundua ya kuwa kulikuwa na harufu kali imetapakaa...
Back
Top Bottom