Search results

  1. El murjeb

    Je ni Burna Boy, Wizkid au Davido?

    Ndani ya mwaka huu 2020 tumeshuhudia miamba ya muziki kutoka nchini Nigeria Burna boy,wizkid na Davido wakiachia album zao kwa nyakati tofauti akianza Burna boy na album yake ya ''Twice as tall'' yenye ngoma 15 then akafuatia wizkid akaachia ''Made in Lagos(MIL)'' yenye ngoma 14 halafu Davido...
  2. El murjeb

    Viatu vya mtumba

    Travota boot Size:41-42 Price:35,000 Raba Nike Size:40 Price:23,000 Ladies shoe Size:37-38 Price:22,000 Sandals Size:38 Price:20k Tunapatikana karume Dar es salaam 07646880-wasap or normal calls Sent using Jamii Forums mobile app
  3. El murjeb

    Which course is best between Computer Engineering or Software Engineering?

    Habarini wanaJF, Mimi ni kijana ninayetarajia kuhitimu masomo yangu ya A level hapo Mei mwakani. Nimejikita katika tahasusi ya PCM kwa kuwa ndio niliipenda sana. Suala langu ni kwamba napata ugumu kuamua kozi nzuri ya kusoma katika elimu yangu ya juu. Nimekuwa nikivutiwa sana na masuala ya...
  4. El murjeb

    Biashara zinazoweza kufanywa na mwanachuo

    Jamani naombeni ushauri kuhusu biashara anayoweza kufanya mwanachuo bila kuharibu utaratibu wake wa kawaida wa masomo
Back
Top Bottom