Search results

  1. Priscallia

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Polisi,uhamiaji, pccb, tiss wote walewale tu 🤭
  2. Priscallia

    Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Mwanamme mlevi na mwenye kutumia sigara huwa sina mazoea nao kabisa, sasa mwezetu huyo wa kutumia bangi umewezaje? Ama mapenzi yamekuchanganya maana muda mwingine tukikunwa vizuri akili huama. Embu msikilize mzazi wako, huwenda ukaangukia sehemu salama zaidi tofouti na sasa kwa huyo mlevi na mhuni.
  3. Priscallia

    CDF Mabeyo: Natamani Jeshi letu liwe la kisasa, tutengeneze zana zetu

    CDF jeuri na wa hovyo kuwahi tokea katika nchi yetu, kaliharibu sana jeshi letu
  4. Priscallia

    Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu mkoani Kagera

    Msikiti tu, then anaondoka na furushi la watu wengi vile. Kwanini asimuachie sheikh wa mkoa akafanya shughuli hiyo.
  5. Priscallia

    Kinachoendelea Bukoba ni matumizi mabaya ya pesa za umma

    Nafikiri ni manispaa moja wapo iliyochoka sana nyuma ya Lindi
  6. Priscallia

    Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Tukiwaambie mje kuoa huku kwetu usukumani mmatuona wakuja kweli, ona sasa mswahili wa uzaramoni anavyokupeleka. Pole lakni mwaya
  7. Priscallia

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Its friday 😌
  8. Priscallia

    Mikoa gani mizuti kuishi ukiwa umeajiriwa?

    Mikoa yote ya kanda ya ziwa isipokuwa kagera
  9. Priscallia

    Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Huyu hana tofouti na JPM, pdf la kutumbua huwa linatoka usiku moja ya watu aliowatumbua usiku wa manane baada ya sherehe za uhuru ni mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa, mzee ana kinyongo kama magufuli tu 😁
  10. Priscallia

    Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Rais wa mfano katika ukanda wetu huu wa Nchi za SADC..
  11. Priscallia

    Angalia jinsi manispaa ya musoma ilivyopangika

    Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...
  12. Priscallia

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
  13. Priscallia

    Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Mbeya hii ambayo ikifika saa mbili mji wote kimya, wakati mwingine tuache chuki dodoma ya sasa hakuna asiyeipenda. DeepPond embu tia neno basi dear
  14. Priscallia

    Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

    Kuna watu watakuja kusema wewe ni chawa wa Magufuli kisa tu umehoji hii filamu ya royal tour
Back
Top Bottom