Search results

  1. F

    Kakobe ni nabii wa kweli

    Mwaka jana, 31 March 2014, Askofu mkuu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zackary Kakobe, aliandika barua yenye ujumbe wa Mungu juu ya anguko la CCM mwaka 2015....huyu alitabiri na yametimia.
  2. F

    Mungu ameagiza watu waitii mamlaka Warumi 13:1-7

    Kitabu cha Warumi 13: 1-7 kinasema" 1 Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka...
  3. F

    Barabara ya Makongo juu - Goba - Mbezi Mwisho yatelekezwa

    Baada ya kuona asilimia kubwa ya wanajamvi wamejikita kwenye mipasho zaidi, nimeona nilete uzi huu mezani ili tujadili ni kwa jinsi gani hii barabara ya muhimu hapa jijini inaweza kuboreshwa ili walau walipa kodi wapate nafuu hasa ukichukulia kuwa magari kadha wa kadha yamekuwa yaking'oka...
  4. F

    Ujambazi waitikisa Goba

    Kuna kundi la majambazi limeibuka hivi karibuni na kutikisa maeneo ya Goba mpakani na Makongo juu..majambazi hayo yalikuwa takribani ishirini, kumi wakiwa ndani na kumi nje. Ndani ya wiki moja matukio ya aina hiyo yametokea Mara mbili kwa Watu ambao ni majirani. Kundi hili linavamia kwa kulipua...
  5. F

    Twiga Stars kuvaana na wadada wa Ethiopia

    Baada ya Twiga Stars kuwaondoa wa-Namibia kwa jumla ya mabao 7-2, watavaana na Ethiopia iliyowatoa Egypt kwa jumla ya mabao 6-4.
  6. F

    Tapeli huyu akamatwe.

    Ilikuwa ni siku ya tarehe 12 Dec 2011 nikiwa Oil com Ubungo nikiwa namsubiri mgeni wangua akitokea mkoani,akaja jamaa mmoja mweusi hivi,wakati nawasha gari langu,akaniomba nimpe hela,eti gari yake imeisha mafuta na pia kadi yake ya ATM imenesa kwenya ATM na hana msaada,nikamwonea huruma hasa...
  7. F

    Nguvu ya umma yavinyima usingizi vyama vya siasa nchini...

    Inasemekana kuwa nguvu ya umma imekuwa ikivinyima usingizi vyama vya siasa nchini: 1).CCem imekuja na sera ya kujivua gamba ili irejeshe imani kwa wananchi 2).Nccra imekuja na dhana ya kumng'oa mwenyekiti wao Jamus kwa kile kinachoelezwa na wabunge wake wawili wa Kigoma kuwa ni kibaraka wa CCem...
  8. F

    Ungependa yupi awe mgombea wako katika kinyanganyiro cha mwaka 2015?

    From CDM: Dr.Slaa, Mbowe, Lissu, Zitto, Mnyika From CCEM: Magufuli, Lowassa,Pinda,Sitta, Membe :juggle:
Back
Top Bottom