Search results

  1. K

    Kweli Mwalimu Nyerere katuachia Tanzania yenye amani?

    Mohamed said udini upi kama mfumo kristo ungekunyanyasa ww zaidi ya miaka arobaini umetumikia mamlaka ya bandari mpaka umestahafu na umelipwa mafao yako bila usumbufu. Mke wako alichaguliwa katika tume ya Warioba ya katiba amezoa mamilioni ya shilingi acha kelele za kijinga kuchochea chuki za...
  2. K

    Waziri Nyalandu na Mh. Lembeli wapo Afrika Kusini kukamilisha "mauzo" ya mbuga ya Katavi

    Nyalandu kwa Tamara anapelekeshwa, anamsikiliza sana Lembeli bila kujua Kuwa Lembeli ni Fitna mkubwa wamekwenda safari hiyo na kibaraka wao Sarakikya ni hat air sana Hawa watu.
  3. K

    Jack Zoka astaafu

    Naibu mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa TISS mheshimiwa Jack Zoka amestahafu rasmi katika nafasi hiyo tangu tarehe 22 mwezi huu baada ya muda wake wa nyongeza kumalizika
  4. K

    Lowassa afunika dar

    Haya kazi kweli kweli sisi wengine yetu macho. muache ajipange mapema
  5. K

    Lowassa afunika dar

    Haya kazi kweli kweli sisi wengine yetu macho.
  6. K

    Lembeli vipi kashfa hii ya Burigi na Kimisi

    Watanzania tukumbuke tembo wetu wanazidi kumalizwa rasilimali yetu nyeti hiyo inapotea Lembeli anawatetea majangili wanazidi kutanua.
  7. K

    Lembeli vipi kashfa hii ya Burigi na Kimisi

    Hili la Lembeli kupewa rushwa na wafugaji na kuwalinda waendelee kuweka ng'ombe hifadhini liko wazi halina shaka, Lembeli hana ubavu wa kulikanusha hata sekunde moja, Lembeli ni mnafiki mpenda rushwa akiona hapati maslahi ndio utamuona kidomodomo ufisadi aliofanya kule TANAPA unatisha muulizeni...
  8. K

    Bodi ya Bandari yamuondoa Kipande, Mwakyembe aizuia

    Usiku mzima jana Waziri Mwakyembe alitutaka tujiuzulu lakini tumemgomea, mjumbe wetu mmoja tu wa bodi ya TPA bwana Sauko ndie aliyewasilisha barua ya kujiuzulu na huyu Sauko hayuko katika wapambanaji wetu dhidi ya ukandamizaji wa Mwakyembe na Kipande. Wajumbe Dr Hilderbland Shayo, John...
  9. K

    Mrema aomba ukurugenzi TPA

    Mrema tulishampima Tanroads hatufai jina lake lifyekwe mapema hata vyeti vyake vya kufoji, nawe Ridhwan na genge lako acheni longolongo msituburuze nia yenu mkamate bandari kwa kujinufaishi acheni ubinafsi, Mrema ni fisadi hana maana yoyote.
  10. K

    Mongela ahaha kurudi PSPF

    Kijana hatari sana huyo alikuwa mchonganishi angeachiwa angewavuruga sana ni vyema wamemuwahi, hongera bodi ya PSPF kwa uamuzi mzuri Ptrick hafai hovyo sana.
  11. K

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mohamed Said Popo mstahafu mwenzangu wa bandari ila anakula kwa ulaini pesa anazolipwa na Ally Sykes[mzulu] ili uiandike na kuitukuza familia yake. kelele tu kila kukicha za kuonewa je mpaka sasa umefanya nini kurekebisha hii hali au utaishia kupiga keleel tu? hao mabwana zako akina Sykes mapesa...
  12. K

    Mwakyembe aanika tuhuma za vigogo TPA, awafukuza kazi

    Safi sanaaa Dakta Mwakyembe kwa uzalendo wako, kuna mmoja hapo anajulikana mitaa ya kinondoni kwa kuwajengea majumba vimada wake,kimada wake mmoja hapa kindondoni mkwajuni kamuhonga bonge la jumba, nadhani vimada hao sasa watafute soko mahala pengine ulaji umekwisha.
  13. K

    Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

    we Sabato kiboko!hiyo timu uliyoitaja ni kali haapo naona mzee Apson alikuwa hajaingia bado, nakumbuka Apson,RO walikuja wakati wa ukurugenzi wa mzee Gama, mzee huyo anajulikana kwa kazi alikuwa anaijua vyema, sijui tatizo walilomuulia ni nini? alale pema peponi
  14. K

    Devid Mranda wa TPA achia ngazi

    Waziri Mwakyembe kafanya jambo kubwa na zuri sana kuwasimamisha kazi wakurugenzi Mgawe,Koshuma,Mfuko na menejea wa bandari bwana Ngamilo kwani hawa ni walikuwa ni tatizo, ila bado kuna tatizo kubwa lingine inapaswa kufanyika haraka la sivyo kila siku uharibifu utaendelea, huyu mkuu wa usalama...
  15. K

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Hakutekwa ni oungo wa wazi tena mchana kweupee
  16. K

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Nimefungua haraka haraka baada ya kuona kuna ushahidi wa utekwaji wa sheikh Farid lakini sioni lolote, acha ujinga hakutekwa chochote ni usanii wake tu, uamsho mnajulikana ni vibaraka wa Jemshid UOGOPENI MOTO WA JAHANAMU AMBAO KUNI ZAKE NI WATU NA MAWE
  17. K

    Balozi Mrango ni wewe tu?

    BALOZI Herbert Mrango katibu mkuu wa wizara ya ujenzi ambaye alistahafu na kuongezewa muda ambao pia umeisha juzi tarehe 30/9/2012 bado anahaha akisikika katika korido akitamba kuwa tayari barua ya kumuongezea muda wa miaka miwili zaidi iko njiani na anajigamba kuwa amefanikisha hilo kupitia...
  18. K

    Kikwete: Katiba mpya isiegemee udini, ukabila au kulenga kuvunja muungano

    huo mkutano aliozungumza wa mtoto wa afrika umejaa usanii mtupu na tatizo kubwa kinara wa uandaaji bwana Abubakar Fransis Kabwogi ni tapeli mkubwa wa kimataifa JK kaingia mkenge tenda kwenda kufungua mkutano magumashi
  19. K

    Sms kwa waziri dakta mwakyembe

    hiyo sms iko bomba sana hao waliotajwa ni ndio waharibifu wakubwa naamini Waziri Mwakyembe atawashughulikia kikamilifu tumpe muda ni mpiganaji mzuri.
  20. K

    Waziri Mkuu asikitishwa na maazimio ya madaktari

    Madaktari watangulize uzalendo mbele waache papara na tamaa.
Back
Top Bottom