Balozi Mrango ni wewe tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Mrango ni wewe tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalanjadd, Oct 2, 2012.

 1. k

  kalanjadd Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BALOZI Herbert Mrango katibu mkuu wa wizara ya ujenzi ambaye alistahafu na kuongezewa muda ambao pia umeisha juzi tarehe 30/9/2012 bado anahaha akisikika katika korido akitamba kuwa tayari barua ya kumuongezea muda wa miaka miwili zaidi iko njiani na anajigamba kuwa amefanikisha hilo kupitia mpare mwenzake katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue.

  inasikitisha sana kuona mtu kama balozi Mrango kuhaha aongezewe muda zaidi sijui anataka afie hapo hapo na sijui kwa lipi alilofanya zaidi ya yeye na mwenzake Magufuli pamoja na kibaraka wao Mfugale kuendelea kutangaza mafanikio ya barabara mbovu na nyingine hewa zikiendelea kutengewa bajeti ya mabilioni.
   
 2. S

  Sabato masalia JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Balozi Mrango hawezi kukubali kuachia hapo kwani pana ulaji mkubwa wa pesa hewa za barabara
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,127
  Trophy Points: 280
  Mnamsingizia, Mzee wetu wa Kanisa! Hamna ushahid wowote wa kumtia hatiani, MAJUNGU TU!!!
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Imekaa kimbea mbea....
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu lara 1 kumbe mrango ni mzee wako wa church?? but he is also a human being
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Tatizo hapa waungwana ni kwamba Balozi Mrango amebana mianya ya baadhi ya walaji, maana yule mzee ni mgumu kiasi kutisha madokezo ya kimagumashi ya wajanja waiopenda kazi lakini wanataka posho bila kuifanyia kazi. Hao ndio hawa wanaokuja na maneo kama haya. Utaratibu wa kuongeza muda kwa mstaafu kwa mara ya pili hauwezi kuwa miaka miwili, kama ni miaka miwili alitakiwa apatiwe ile awamu ya kwanza kawa sasa ahata akipewa itakuwa mwaka mmoja tu. Kimsingi mkataba wa mwaka moja ni pressure tu za bure ningemshauri Balozi Mrango akubali kuachia ngazi tu. Pili isitoshe hiyo Wizara ni ngumu hachelewi kuwekewa zengwe akwa na kesi na akajilaumu kwa nini hakustaafu mapema.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Muda ukifika umefika kama amekaaa miaka kibao hakujiandaa,hii miaka 2 itamsaidia nini?sana atapata maadui wengi zaidi aje ashindwe kuanza maisha ya kustaafu kwa amani!!
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  majungu yanaharibu sana nchi yetu
   
Loading...