Mongela ahaha kurudi PSPF

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
Baada ya bodi ya mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma[PSPF] kumfuta kazi mkurugenzi wa uendeshaji bwana Patrick Mongela[mtoto wa mama Getruda Mongela]kwa tuhuma za ufisadi,ufuska na uchonganishi,Mongela njaa imeshaanza kumuuma sasa anahaha ikulu kwa katibu kiongozi akibembeleza amsaidie arejeshwe kazini na tayari amefungua kesi kukata rufaa..
 
Ufuska tena kwenye kazi hahaha fafanua maana tuna wachumba huko PSPF
 
Yaani bado hajatosheka tu na ufisadi aliokwisha ufanya; au alifikiri siku zote ni weekend ?
 
Nafikiri atafanikiwa kurejea tu kwa kuutumia huu mlango anaougonga sasa. Tena kwa tuhuma ya ufuska! Unless kama alipita na mzigo wa "mtu".
 
Nafikiri atafanikiwa kurejea
tu kwa kuutumia huu mlango anaougonga sasa. Tena kwa tuhuma ya ufuska!
Unless kama alipita na mzigo wa "mtu".

Kama aligonga toto ya "muzee" hawezi kurudi, si unaona babu seya anavyosota...
 
Kwani Babu Seya aligonga toto ya muzee? si ilikuwa ni kesi kabisa, mashahidi wakaletwa mahakamani watoto na wazazi wao wakaeleza ilivokuwa mahakama ikaridhika..?
Kama aligonga toto ya "muzee" hawezi kurudi, si unaona babu seya anavyosota...
 
Kijana hatari sana huyo alikuwa mchonganishi angeachiwa angewavuruga sana ni vyema wamemuwahi, hongera bodi ya PSPF kwa uamuzi mzuri Ptrick hafai hovyo sana.
 
Huyu jamaa namfahamu amehamahama kwa kashfa sana yaani " Kunguru hafugiki". Hata hivyo sikushangaa kusikia ametoswa huko PSPF, akifanikiwa kurudi ndio nitakapoamini hakuna lisilowezekana Tanganyika hii.
 
Back
Top Bottom