Search results

  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Ana mpauko Fulani was ngozi na kama ngozi Haina nuru kabisa Haina mng'ao kabisa!! Labda unachosema!!
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    Hizi kazi wenye akili Huwa hatuombi labda tupewe wito maalumu!! Kuna sarakasi za kutosha Sana Toka Kwa watendaji vijiji na kata !! nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu uliopita "mama ntilie alipewa usimamizi mkuu amsimamie mkuu wa shule mmoja hivi,nilicheka sana!!Boda Bora anamsimamia Mwl wa...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    KERO Watumishi Halmashauri ya Momba walazimishwa kuhudhuria Sherehe za Muungano kwa gharama zao

    Hata pasipokua na umoja ,ukijiamini kisheria hakuna atakaye kusumbua kabisa!!
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Nani nyumbu!!? Halafu tangu lini idadi ya kura kuwa nyingi zikahalalisha ushindi wa mtu hasa katika nchi zetu za Dunia ya tatu!!?hata huko america idadi ya kura hazihalalishi ushindi wa urais!! Hujui kura zinahalalisha yule aliechaguliwa tayari na wenye mamlaka ya nchi!?na sio idadi.na...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Madhara ya chama kimoja hasa hiki changu Cha CCM kukaa madarakani muda mrefu,Hadi jeshi la police linashindwa kuwatumikia wananchi linatumikia chama na watawala yaani kuwapendeza watawala!! Mimi naamini chama Chama upinzani ni sehem ya taifa coz wanachama waliopo huko wanalipa Kodi SAWA na...
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Utafiti binafsi! Nguvu itokanayo na kristo haichunguziki na ni ngumu kuitolea logic ya kimtazamo coz Haina formula maalum ya kumfundishia mtu! Uislam ni rahisi kuutolea maelezo coz unafundishwa vema na kushika sheria!! Ukristo muhusika haongozwi na mafundisho Bali nguvu halisi iliyomvaa...
  7. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Hakuna Dini ya kweli mkuu!! Kuna nguvu ya kweli ya Asili iitwayo Mungu na ilikuwepo kabla Dini hazijaja Kwa mababu zetu!! Muite huyo saidia wenye shida huku ukimuita huyo Kwa lugha yako kuhusu chochote kile atafanya Kwa kadri mapenzi yake yalivyo!! Dini ni mpango kazi wa nguvu hasi iitwayo...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kassim Majaliwa: Watu 155 wamepoteza maisha na wengine 236 wamejeruhiwa kutokana na Mvua za El nino

    Kinachoniuma ni kuwa serikali Haina nyumba za kutosha za kuwapa wananchi Kwa muda hadi hali itakapotengemaa!!
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Labda Aliwakosea waliompa katika angle isiyotamkika public na wao wakalianzisha linalotamkika public Ili kumuondoa Kwa kiti!
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

    Mungu alimuandaa samiah kuwa Raise Hadi 2025 TU,umri wake was kustaafu utakua uefika rasmi!
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Kwenye mahusiano wekeni falsafa,dini,utafiti pembeni! Mahusiano yanaamuliwa na nature yaani asili na mazingira uliyonayo plus maumbile ya ndani ya wahusika kwenye mazingira hayo uliyopo!! Ukifanikiwa kwenye hilo bas mahusiano Yako yatadumu!
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Sijaona kosa lake hapo!! Ndivyo alivyoona inafaa! Mengine siyo laana ni nature imeamua! Unaweza kuolewa na maskini lakini ni tajiri was kesho! Au ukaolewa na anaeoonekana ni tajiri lakini ni maskini was kesho! Mali ni kiumbe hai Ina macho,masikio inaweza kuchoropoka wakati wowote!
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nimelipwa deni langu Tsh. Milioni 1.3 baada ya miezi 6. Nifanye uwekezaji gani?

    Tengeneza Banda la kawaida sana la kuku kama 200 hivi yaani mtafute fundi akupe gharama hiyo!! Tafuta kuku was kienyeji matetea kama 60 hivi na majogoo kama 10 !! Nunua dawa kama Newcastle wachanje !halafu tafuta OTC plus dawa ya vitamins!pumba plus chakula special utakua unachanganya na pumba...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    'Mama Anatosha' Hii ndiyo kauli mbiu ninayotamba nayo mitaani kwangu na kuungwa mkono kwa wingi

    No kweli anatosha kupika ugali na kulea wajukuu kabisa au we unaonaje Mwaisa!!?
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Nimeaply huko!!!naamini Kuna mengi ya kujifunza humor!
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Mpigie sim mwambie amkumbuke Mangula kwenye vikao kama hivi!
Back
Top Bottom