Search results

  1. M

    Msaada wa shule ya sekondari

    Wanajamvi, habari zenu. Mimi ni mzazi wa mtoto mwenye tatizo kitaalamu wanaliita cerebral palsy. mwanangu amemaliza darasa la saba katika shule ya kiingereza (English Medium). Katika mtihani wake wa darasa la saba Wizara ya Elimu ilimsaidia kwa kumuongezea kumpa muda wa ziada, pamoja na kumpa...
  2. M

    Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

    [Usimfanye jamaa ajilipue ama ajinyonge.[ Huyu ni mwelewa, alitumia kinga
  3. M

    Mwanamke anapokufanyia hivi maana yake nini? Ushauri please

    Yeye yuko sawa, anaona hutaweza kununua ng'ombe mzima endapo atakuwa anakupa nyama nusu kilo ama kilo nzima utakapohitaji. hivyo anataka ukajitambulishe mfunge ndoa.
  4. M

    Natafuta mpangaji- nyumba mpya

    Nyumba mpya ipo kilomita 2 kutoka mbezi mwisho kuelekea barabara ya makabe, yenye uzio, paking ya kutosha na finishing ya kisasa, master bedroom na vyumba vingine 2,pamoja na sebule na jiko (inajitegemea) inatafutiwa mpangaji. kadi ni TSH 250,000/= kwa mwezi. Mpangaji anatakiwa awe na sifa...
  5. M

    St. Florence Academy: Watoto kuibiana na utukutu ni moja ya somo

    Bora hiyo . Wa kwangu aliibiwa biblia mpya. Niliandika na namba za simu page ya kwanza. Ina maana hata mzazi hajaziona anirudishie?, je mwalimu, je mfagizi?, je mpishi? je mlinzi, je dereva .Nilipiga simu ola. nikaanika kwenye diary ola; nikafika shuleni ola. hata leo naiomba kwa kuwa bado...
  6. M

    Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

    Bwana ametoa Bwana ametwa, jina la Bwana libarikiwe.
Back
Top Bottom